Mfano wako wa gari nimeuelewa sana, hivi mkuu mfano ndo nipo kwenye gari kama ulivyosema, yaani gari inavyotembea na ndivyo na mimi ninavyotembea maana nipo ndani ya gari.Bro fanya utafiti kwanza, unasema asilete habari za kwenye vitabu wakati hata wewe hayo mambo umeyasoma sehemu fulani....
Ukiwa kwenye gari ambalo lipo kwenye mwendo na wewe pia unakuwa kwenye mwendo sawa sawa na lile gari.... ndio maana gari likifungwa breki ghafla utajikuta kama unavutwa kwenda mbele ni kwa kuwa wewe bado unakuwa upo kwenye mwendo wakati gari linakuwa limesimama. Pia hiyo ndio sababu ikitokea gari limegonga kitu mfano ukuta watu waliopo ndani ya gari kurushwa kupitia kioo cha mbele, hiyo ni kwa kuwa gari linakuwa limesimama ghafla huku likiwaacha wao wakiwa kwenye mwendo.
mfano wako huo uliotoa ni kwamba ukisimama juu ya hilo gari ambalo lipo kwenye mwendo halafu ukaruka juu basi utatua pale pale kwa kuwa na wewe pia unakuwa kwenye mwendo sawa sawa na hilo gari.
mkuu msome Newton na umuelewe
Natamani nikupe bia Kreti Nzimakinachokufanya uihisi speed ya gari ni vitu vingi kwanza speed yenyew ya gari haipo costant, kuna wakati inaongezeka na kuna wakati inapungua so lazima utaihisi hiyo hali, pia gari inapita kwenye bara bara ambayo sio tulivu kwanza uwepo wa kona kona lazima wewe utazihisi, pia mashimo shimo barabarani yatakufanya uhisi kuwa upo kweny chumba kinachotembea.
Jiulize watu wanasafiri na ndege au meli wanawezaje kutembea ndani ya vyombo hivyo hali ya kuwa vipo kwenye mwendo? ni kwa kuwa vyombo hivyo vinakuwa vimetulia tofauti na magari....
sasa fikiria ukubwa hii dunia, wewe ni kajidude kadogo sana juu ya uso wa dunia yaan kadogo sana so huwez ukahis chochote kutokana na mwendo wa dunia, maana dunia ipo katika constant speed, na hakuna vizuiz vyoyote....
Wewe hujaelewa vizuri unachokitetea.tusitumie notes za shule hapa mkuu... okay kwa mfano upo juu ya semi trailer alaf gari linatembea, upo kwenye kichwa cha semi unataka ufike mwsho! ukiruka juu si utafika mwsho wa semi trailer kama linatembea? wanasayansi wanasema maji ya bahari yanashikiliwa na gravity? hyo gravity ni kubwa kiac kwamba haao samaki wacngeweza kumove.
Good explanation...!MKUU..! HUO NI UPOTOSHAJI.
Kuhusu speed
Unasema; > Hekicopter zingekuwa zinatulia angani na kusubiria mji wanaotaka wafike ukufikie. Kwa hyo spidi hapo juu inatakiwa mtu aifeel maana ni spidi kubwa sana.
Hebu fikiria upo kwenye gari lenye mwendo fulani (lets say 80km/hr),na ndani kuna nzi anaranda randa tu humo, tuchukulie huyo nzi yupo mbele kwa dereva na anataka aifike siti ya nyuma, je, kwa huo mtazamo wako unafikiri ataweza kuifikia hiyo siti kwa kuruka na kuganda hewani na kusubiri siti ya nyuma imfikie mahali alipo kisha atue, bila yeye kusafikiri kutoka mbele hadi nyuma kwenye hiyo siti?
Pili, Kuna ndege inaitwa North American X-15, nafikiri ndiyo ndege inayoongoza kwa speed kubwa, inatembea kwa 7,200 km/h.
View attachment 466011
Hiyo sio speed ndogo mkuu, sasa tuchukulie upo humo ndani, unataka kuniambia utaifeel hiyo speed eti kwa sababu tu ni kubwa?
Kuhusu gravity
Unasema;Wanasayansi wanasema gravity ni kubwa sana inashikilia majengo, maji yaliyopo baharini na kadhalika ila hyo gravity imeshndwa kushikilia vitu vidogo kama wadudu, ndege mnyama na samaki waliopo baharini.
Kwanza, unatakiwa ujue kuwa force ya gravity huathiriwa na medium (fluids), hapa nina maanisha kuwa kitu kikiwa kwenye fluid(hewa au kimiminika) yeyote huwa kuna force inayokinzana na gravity, inaitwa upthrust, kiwango cha upthrust kinategemea nature ya fluid yenyewe(viscosity), pamoja na mass ya kitu chenyewe.
Halafu pia ujue kuwa gravity haijashindwa kushikilia vitu vidogo, hao wadudu na ndege wanaoruka huruka kwa msaada wa hewa (inayo-offer upthrust kwa msaada wa mabawa yao), and trust me, isingekuwa hewa wasingeweza kuruka. Na huwa wanatumia nguvu kubwa kupata momentum ya kuruka juu kukinzana na gravity, hadi watakapopata desired momentum ndio wanarelax. Lakini kwa wadudu wadogo sana garavity huwa inaeffect ndogo sana kwao(kama jinsi ilivyo kwa unyoya mwepesi unaoelea angani),hii ni kwa sababu hewa inakuwa inaoffer upthrust kubwa inakaribiana mno na gravity. Ndio maana wadudu kama mbu,utaona kama hawathiriwi na gravity, ila sio kweli. Effect huwa ipo ila nayo inakuwa cancelled na upthrust ya hewa.
mkuu tafadhali mkuu fanya hiyo kitu aisee nina kiu hatar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Natamani nikupe bia Kreti Nzima
MKUU..! HUO NI UPOTOSHAJI.

malumbano ya Physics, Mathematics na. Geography. sisi ngoja tuendelee kuangalia mtanange na kuhitimisha kama yule babu kwa mjukuu wake kuhusu ndege kuelea angani, 'Mwanangu hayo ni mambo ya kitaalam sana'Ndio maana nilifeli physics
Mkuu upo nyuma sana tena sana,maana hujui hata jinsi inavyozunguuka,hebu cheki hii VIDEO unaweza kujua ni jinsi gani inavyozunguuuka.Mi mwenyewe nashangaa eti dunia inazunguka !
Mbona mi kila siku niko pale pale sizunguki nikafika hata china ?
Mkuu upo nyuma sana tena sana,maana hujui hata jinsi inavyozunguuka,hebu cheki hii VIDEO unaweza kujua ni jinsi gani inavyozunguuuka.