Ukweli kuhusu Dr. Slaa


Halafu alikuwa anakutafuta akupe na wewe share yako:what: ( KAMA WAGOMBEA WOTE 38 WALIKUWA NA SIFA SAWA, HAPO MNAANGALIA NANI ANAKUBALIKA NA WANANCHI, MSIMCHAGUE MTU KWA DINI YAKE, KABILA LAKE, AU UKANDA, NA MTU ASIPOPATA NAFASI CCM ATATAFUTA NJE YA CCM,..... MSIJE MKALIA MKAKOSA MTU WA KUWAFUTA MACHOZI..!! ni dhahiri mtalia na kujuta ni kama tulipokuwa tunaishangilia t/stars maboresho ya mholanzi m. nooj tuliumia sana, sasa kachukua Master Mkwassa, tumeona uganda sasa tunajiamini, Wacheni na Ukawa tuchukue nchi kupitia kwa Lowassa..!!
 
Slaa ana conflict of interest kwenye maamuzi yake ya ama kumpokea au kutompokea Lowasa chadema, kwakuwa Slaa anataka yeye awe ndo mgombea urais

Hoja dhaifu sana mkuu ungekuja na nondo ya maana tuchangie tufungue macho as in how Slaa ana conflict of interest au wanaosema kinyume waje na analytical posts mtufungue macho misitake kutulisha mnayoyatengeneza kwa akili zenu bila uchambuzi bado nakumbuka Zitto alivyofanyiwa akiwa safarini Juba na kamati ya kudumu ya bunge.

Hichi kinachotekea sasa hivi ni malipo kwa waliomfanyia ZZK siasa ni zaidi ya mnavyoijua ila tuache mipasho tulete hoja jadidi hizi za majungu hazijengi
 

Ndugu umeongea point WHY AJITOE?
Binafsi ningependa kumuona kama na yy ana compete na EL ndani ya chama kuliko kususa
Anyway still i need changes and Good changes

Mungu atupe hekima hiyo ya kupiga kura kwa Hekima zake tupate viongoz bora:crying:
 
Slaa ana conflict of interest kwenye maamuzi yake ya ama kumpokea au kutompokea Lowasa chadema, kwakuwa Slaa anataka yeye awe ndo mgombea urais

Hoja dhaifu sana mkuu ungekuja na nondo ya maana tuchangie tufungue macho as in how Slaa ana conflict of interest au wanaosema kinyume waje na analytical posts mtufungue macho misitake kutulisha mnayoyatengeneza kwa akili zenu bila uchambuzi bado nakumbuka Zitto alivyofanyiwa akiwa safarini Juba na kamati ya kudumu ya bunge.

Hichi kinachotekea sasa hivi ni malipo kwa waliomfanyia ZZK siasa ni zaidi ya mnavyoijua ila tuache mipasho tulete hoja jadidi hizi za majungu hazijengi
 

Chilongola umeshindwa kulongola kabisa. Eti unajiita mwanasheria? Si kweli! Mwanasheria huwa haandiki hoja dhaifu kama hizi. Mfano unaposema Dr Slaa yumo ndani kwake hajatoka toka jumapili na wala hakuna mtu yeyote aliyeruhusiwa kuingia nyumbani kwake je wewe mwandishi umejuaje ushauri aliopewa wa kujiuzulu umefurahiwa na mkewe, nani amekupatia hizi habari? Na habari za EL kumhonga Mbowe Billioni 12 wewe umezipata wapi? Nk nk nk kuonesha kwamba Ndugu Chilongola ni mwanasheria dhaifu na sijui mahakamani huwa anawateteaje wateja naana kama uandishi wenyewe ndio wa dizaini hii sijui submission huwa anaziandikaje.........
 
Nimeamua kuandika hii madafupi huku niki declare msimamo wangu kuwa niko upande wa wana mageuzi (UKAWA)

Ni ukweli kuwa, mtu yeyoteanayewekeza kwenye kilimo, huanza kwa kuchagua ardhi na mara nyingi ardhi hizihuwa ni mapori.

Kwa hiyo anawekeza kwa kufyeka na kutoa visiki vyote. Mara nyingihumchukua muda kama miaka kabla shamba hilo halijawa tayari kulimwa na kupatamavuno. Dr Slaa, ametumia muda wake mwingi wakati akiwa na nguvu kuimarishaupinzani. Hapa upinzani ndani ya UKAWA umefikia hatua ya mavuno. Tena makubwa.Ni wakati wa kufuta jasho na kusimama kidedea baada ya kuing'oa CCM.Sasa kwa nini, hawezi kuhama. Sababu ni hizihapa.


  1. Sasa ni pay time. Ni wakati wakuvuna kilealichokihangaikia kwa takribani miaka 20. (Correct option)
  2. Hawezi kuondoka na kujiunga na CCM. Sababu kama ni kigezocha kuchukia UFISADI, CCM ndiko makazi yake. Ni bora kubaki na Lowassa ambayeamekuwa nje ya serikali kwa miaka karibu nane, huku Ufisadi huko CCM umeendeleakutamalaki. (Wrong option)
  3. Option ya kujiunga ACT ni kama kurudi tena porini nakuanza kufyeka msitu ili kutengeneza shamba jingine. Well, inaweza kuwa wazozuri. Lakini, sidhani kama yuko tayari kungojea tena miaka 20 ijayo. (wrongoption)
Dr hawezi kufanya kosa hilo.Na kama ana mpango huo, basi anataka kuingia kwenye historia kama ya kina MremaLyatonga.
Nawakilisha


 
hivi huyu jamaa akikubali na tukishinda urais akapata zake uwaziri mkuu anaona hatafaidika? slaa slaaa jamani
 

Nadhani kinachomsikitisha Dr ni kukosa nafasi ya kugombea urais. Pamoja na kuwa alishiriki mijadala ya kumhalalisha EL na kufikia muafaka lakini dhamira yake ya kugombea urais bado inamfurukuta. Tumuache apumzike, atakuja na majibu na maamuzi sahihi.
 
 
pumzika kamanda...lakini utafanya kosa kubwa usipokuwepo wakati wa kumtangaza mgombea wa ukawa.....hata kama haukubaliana lakini kwa wadhifa wako kama katibu mkuu wa chama anaye lipwa.....njoo ufanye wajibu wako....kumbuka unaweza kukubali kutokubaliana.....
 
Ni kweli mzee Slaa aachwe apumzike ili atafakari upya maisha yake ya kisiasa. Akishatafakari nadhani atakuja na majibu sawia. Tuache kumuwekea maneno mdomoni tumsubiri aje mwenyewe kuzungumza.
 
Slaa amepanda sasa Mbowe anakuja kuvuna kwa kuuza chama kwa 10bn...we unaona ni haki hiyo? Chadema ishauzwa!
 
Baada ya ushauri huu mkewe wa Slaa ameonekana kufurahia na ameanza kuelezea kwenye mitandao ya kijamii. Jsna kupitia kundi la Nyakahoja la whatsapp Josephine alisema mumewe ameteseka sana na chama hiki na amekitoa mbali sana. Dr.Slaa alivunjika mkono na hadi sasa ana ulemavu wa kudumu kwa sababu ya kuitetea chadema. yeye mwenyewe alipigwa na kuharibiwa mimba mwaka 2011 kwa sababu ya chadema halafu leo wanapuuzwa kama vile si chochote ndani ya chama.

Chadema jiulizeni kwa hili!
 

Anaweza kuwa na option ya kupumzika, kuachana na siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…