Ukweli kuhusu Dr. Slaa

Sasa hivi hamumongelei magufuli tena, mpaka kuchanganyikiwa kama anagombea ubunge au uraisi
 
Hakuna mkamilifu ndio maana hata pencil ina mfuto! Suala la mabadiliko ya kuitoa CCM linaweza kuwa gumu sbb ya upuuzi huu! kutaka kumkosoa kila mtu! Ifike sehemu msimame as one kuhakikisha mambo yanaenda hiz tofauti ndogo ndogo zitamalizwa.
Kwanza ni upuuzi wa high grade kutegemea au kudhani Makamba au mfuasi wa ccm kuiongelea vizuri CDM. kwa mapenzi yapi?
 

Turudishiwe ela zetu za escrow zilizopitia stanbic bank
 

MKUU NAONA KELELE NYINGI ZA TUTAUZWA TUTAUZWA,TUUZWE MARA NGAPI?hao nyinyiemu ameshatuuza au tutauzwa kwa mara nyingine?
 
Dr.Slaa alivunjika mkono na hadi sasa ana ulemavu wa kudumu kwa sababu ya kuitetea chadema. yeye mwenyewe alipigwa na kuharibiwa mimba mwaka 2011 kwa sababu ya chadema halafu leo wanapuuzwa kama vile si chochote ndani ya chama.
 
kipindi hiki kila mtu amekuwa msemaji wa CHADEMA
kipindi hiki kila mtu ni mwandishi wa habari na kila mtu ni mpelelezi.
Sisi walaji wa habari tunao wakati mgumu kweli maana hatujui tishike la yupi tuache la yupi.
 
Last edited by a moderator:

Wamemsahau Pombe wao kabisa!
 
mkuu kwanza heshima yako ... mkuu naomba nikuulize baadhi ya maswali hv unavyoona kati ya ukawa na lowassa nani anamuitaji mwenzie sana? pili unavyoona ni mwanachama gani aliejiunga na chama flan kwa kuonga hela ndo ajiunge tatu nani mwenye ushahidi wa kusema lowassa ni mchafu kiasi kwamba kujiunga na vyama vingine mpaka atumie pesa

kingine mbona watanzania mmekuwa mabingwa wa kukariri yani mmekuwa kama meli hata iwe kubwa kama kisiwa inavutwa na ki targ boat chenye ukubwa wa center ya tani 3 ni miaka 8 toka habari ya lowassa kuwa ni fisadi bt cjawahi kuona mwandishi yeyote wa habari za kiuchunguzi kuingia chimbo na ku investigate newz hii naamini hata vyombo vikubwa vya habari duniani wangeinunua habari hii japo kuna magazeti zaid ya 10 ya habari za kiuchunguzi bt na wao pia wapo kama mama wa nyumbani anae msubili mumewe arudi nyumbani ndo wapakue chakula watoto wapate kula tumekuwa tunasubili pakuche tukanunue magazeti kana kwamba magazeti ni bible na msaafu kwamba ni maneno ya mungu so yatakuwa ni ukweli mtupu wakati tofauti ya magazeti haya na magazeti ya udaku ni ya udaku yanatoka kwa wiki haya yanatoka kila siku kumbuka chadema inataka watu kushinda uchaguzi na lowassa tayali anawatu sasa hapo nani anamuitaji mwenzie mpaka fedha imtoke kwa kupata kadi ya chadema ?
cdhani kama kuna mpuuzi yeyote duniani anaweza kutoa fedha wakati ujui kama utashinda uchaguzi watu wanatoa fedha wapate kazi coz anajua akitoa atapata kazi kiwepesi si ktk uchaguzi na kama kuna mtu wa namna hiyo huyo anatakiwa kuwepo mental institutions si mtaani
 
Nimejifunza mengi hasa hili yule niliyekuwa nikimweita shujaa, President Material wangu, sikujua kuwa ana very weak point tungelimpeleka Ikulu basi isngelichukua muda tungelijuta, mungu ni mkuu ameamua kutunyooshea mambo mapema kuliko kuwa na First Lady wa ajabu type ya huyu JM.
,
 
Usikute huyu jamaa yuko mateka na TISS through Mama wanatengeneza mazingira ya kumtoa kafala halafu tuambiwe ni CDM
 
MKUU NAONA KELELE NYINGI ZA TUTAUZWA TUTAUZWA,TUUZWE MARA NGAPI?hao nyinyiemu ameshatuuza au tutauzwa kwa mara nyingine?

MBOWE NI NOMA NI AHERI CCM KULIKO MBOWE KM ULIKUWA HUJUI.embu piga picha ya equation ya mbowe na luwasa utapata nn?na amini itakuwa biter chemistry in da world and ever seen in my mother countrx tz
 
naona pumab tu humu. unataka kutuambia sisi sio chochote kwenye upinzani ila slaa? wewe kama ni advocate basi utakuwa wa bandia. kwa taarifa yako impact ya lowasa ni kubwa kuliko ya huyo padre wako. nakuhakikishia slaa angegombea urais asingeshinda. ungemuuzaje kwenye maeneo yenye waislam wengi mtaalamu wa theologia? CCM wangetumia gia hiyo kummaliza kabisa. hivi hamjiulizi ni kwa nini 2010 chadema ilishinda sehemu zenye makanisa mengi tu? mnavichwa lakini hamfikrii. waajabu sana nyie. pamoja na mbowe kuwa mpiga dili ila anaelewa mazingira anayopambana nayo. kwa staili hii nimemzarau sana huyo kibabu wenu.
 

Kamanda umesikia kuwa shujaa wenu Edo amejipanga kuiteka CHADEMA?
 
Hii huruma kutoka ccm kwa chadema inatoka wapi kama CHADEMA wamekosea nilifikiri wangekuwa wanapiga vigeregere
 
Gharama za kupiga kampeni zinaitajika sio tu kusubiliwa kubebwa na gharama za Chama.
 
Chadema inapitia wakati mgumu sana nnadhani itakuwa ni mara ya kwanza toka kianzishwe, je mwandishi wa makala hii umefanya jitihada gani kuongea na uongozi wa juu na kuwapa huu ushauri wako.
 


V
Kilichonisikitisha zadi ni EL kumpelekea hongo slaa shs bilioni 2 eti aachane na msimamo wake wa kumpinga,hivi huyu mbowe mnadhani qna nia ya kweli ya luwakomboa 2atanzania,watu mnadanganyana kwa majina eti kamanda mbowe?
Kamanda mbowe au kandanda mbowe?
Slaa hawezi kununuliwa kwa pesa sasa iwapo mbowe kakiuza chama kwa lowassa akishinda na akja mteja anataka kununua ziwa victoria si ataliuza tu
 
aisee kama Makamba aliyasema haya basi aliona mbali sana.
 
Maneno sahihi kabisa naona yametimia tena tukiwa bado wazima wa afya kabisa .
 
Kwani ccm kuna msafi Mzee makamba? Epa escrow wote in chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…