Ukweli kuhusu Dk.Nderakindo Kessy

numlock

Member
Joined
May 3, 2013
Posts
62
Reaction score
11

Mbunge huyu wa Afrika Mashariki alifukuzwa Marekani na kuzuiwa kuingia nchini humo kwa miaka kumi +,pia inasemekana hayupo sawa kiakili.Anaye mfahamu vizuri atatueleza zaidi.
============================

SOURCE: Guardian
 
Vile vile nasikia anahaminisha uma kuwa ana Phd na sio kweli,mwaka 2004 alifukuzwa USA na alikaa kazi kwa muda mrefu sana,lakini kwa msaada wa mzee Bomani(Mke wa Bomani ni dada wa mama wa James Mbatia) alipewa kazi Chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM) kama mwalimu wa Hesabu(Mathematics).
 

Mbona nasikia baada ya muda fulani wanafunzi waliaanza kulalamika kwasababu matokeo kwenye somo lake yalikuwa mabaya sana,hudi uongozi wa chuo ulipoanza kufuatilia na kugundua kuwa hakuwa na Phd.
 
kwa walio soma Udsm miaka hiyo kama mnamkumbuka vizuri mnaweza changia hapa,ili tupate kumjua vizuri huyu mama.
 
Kama kuna mdau hapa au memba wa jf ambaye yupo hospitali ya Taifa ya muhimbili atupe hizo information kuhusu huyu mtu kama ni kweli anahudhuria kliniki au nafile maeneo hayo,ili ukweli ujulikane.
 
Lakini kunataarifa kuwa tangu atoke Marekani hadi leo bado anaishi na dada yake Tegeta,baada ya ndugu zake wengine kugundua kuwa anamatatizo.
 
SOURCE: Guardian
 

Kwa kifupi ni kwamba ukoo wa Kessy wana akili sana nawajuwa vyema, muangalie hata James Mbatia ni Kessy pia.
 
Huku tunakoelekea sasa hivi inatakiwa kuwa makini sana, na hasa kwenye siasa naona wengi wanajitokeza kutaka kugombea uongozi,lazimwa wapimwe akili,maana kwa sasa kila mtu anataka kuwa Rais wa nchi.
 
No way, sio UDSM, tena mathematics, achen ngonjela na wivu. Labda mungesema story zingine
 
Huyo mama namfahamu vizuri sana. Ni kweli alitimuliwa pale Udsm baada ya wanafunzi kulalamika kwamba hawamuelewi. Kulikuwa na taarifa za utata kuhusu PhD yake. Inasemekana aliinunua huko Marekani.
 
Wengi wamekuwa wakijiuliza kwa nini alifukuzwa Marekani na kupigwa ban kuingia nchini humo tena. Ila kuna jamaa waliyekuwa wakiishi naye Marekani aliniambia ni mumewe ndiye aliyefanya mipango ili atimuliwe kutokana na tabia yake ya kugawa uroda ovyo.
 
Wengi wamekuwa wakijiuliza kwa nini alifukuzwa Marekani na kupigwa ban kuingia nchini humo tena. Ila kuna jamaa waliyekuwa wakiishi naye Marekani aliniambia ni mumewe ndiye aliyefanya mipango ili atimuliwe kutokana na tabia yake ya kugawa uroda ovyo.
Na hicho ndiyo chanzo cha ugomvi wake na Rose Bhanji.
 
Huyo Kessy ni dokta feki kama walivyo madokta wengi hapa Tanzania. Ni kweli yeye ni msomi wa Mathematics lakini sio kwa ngazi ya PhD, na ndio maana pale Mlimani walimshtukia na kumtimua. Lakini pia unapoongea naye utagundua kwamba akili yake haipo sawa sawa. Wanaosema ana faili pale Muhimbili inawezekana ni kweli kabisa.
 
Na hicho ndiyo chanzo cha ugomvi wake na Rose Bhanji.
Tatizo la wabongo wengi ni kwamba wanapenda kujiingiza kwenye mambo ambayo hawana uwezo nayo. Huyo Kessy inasemekana tangu ameingia kwenye Bunge la Afrika Mashariki hajawahi kuchangia hoja yoyote. Ni kilaza fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…