Daole
Senior Member
- Sep 23, 2010
- 161
- 110
Wakuu katika pitapita zangu za kuhangaika na haya mashaka ya vingamuzi nimekutana na hz decoder used. Naomba mwenye uwelewa atusaidie ss IT alotupitia pembeni.
Tusaidieni waathirika wa digital coz hv vitu vimezagaa sana mjini.
- Kweli ukifunga huwa ni free
- hazina expire date
- Unaweza kuzichakachua na kupata channel zaidi zisizokua za FTA
Tusaidieni waathirika wa digital coz hv vitu vimezagaa sana mjini.