Mkuu kwani ni lazima usome MUHAS..ukiwa na ufaulu mzuri CBG unasoma udaktari na ufamasia vyuo vingi tu hapa bongo
Na usisahau daktari wa MUHAS na yule wa SAUT Songea hawatofautiani mshahara wa marupurupu
Mazingira ya kazi ni yale yale so usishindwe kusoma zako ukatimiza ndoto zako kisa unataka ukasome Muhimbili