Dah hii imekaa vibayaUtapeli upo kwenye ugumu wa kuvipata hivyo atasetiwa mwenzao na kudai anavyo hivyo vitu ili ukanunue sasa kupigwa kupo hapo sasa i mean wale waliosema hivyo vitu ni deal baada ya kuvinunua wataingia mitini we unabaki na hayo ma rupia yako na mecury
Uwongo mtupu
Kwa hiyo hii Biashara ni magumashi mwanzo mwishoUtapigwa mchana kweupee, niambie mtu hata mmoja aliyewahi kufanikiwa kwenye hayo mambo, utapewa hadithi nyiiingi za kusadikika na kufikirika, kama unataka ufilisike shiriki hayo mambo mkuu
Ni magumashi kuanzia stori zake hadi watu wakeKwa hiyo hii Biashara ni magumashi mwanzo mwisho
Ni pm mm ni muhanga wa hiyo kitu nitakujuza ni utapeli mtuAsante mkuu, ila sa utapeli wake ukoje ili hata ninapomuelekeza mtu anielewe
Thanks mkuuBasi poa mkuu