Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,140
- 13,164
Hivi huyu Eng Hersi ndio mwenyekiti pale Yanga?🤔🤔🤔Nimekaa nawaza tu wale M B U M B U M B U waliotoa kishika uchumba 🤔 wataidai pesa yao ama la mana Eng Hersi ameshasema alimsainisha miaka 02 zaidi kuitumikia timu ya Wananchi.
Uwiiii. Nimeifuta post kumbe ushaibeba. LolHivi huyu Eng Hersi ndio mwenyekiti pale Yanga?🤔🤔🤔
Inamaana Mwenyekiti wa Yanga humjui?Hivi huyu Eng Hersi ndio mwenyekiti pale Yanga?🤔🤔🤔
Mi simjui ni nani huyo? Na anamajukumu gani pale Yanga?Inamaana Mwenyekiti wa Yanga humjui?
Nenda kagoogleMi simjui ni nani huyo? Na anamajukumu gani pale Yanga?
Kumekuwa na sintofahamu nyingi kuhusiana na mchezaji kipenzi cha wana yanga Bernard Morrison.
Ikumbukwe kuwa, week iliyopita yanga walisafiri kuelekea mkoani Shinyanga kucheza mchezo wao wa ligi dhidi ya Mwadui fc. Lakini mchezaji huyo hakusafiri na timu kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe.
Kumekuwa na taarifa nyingi mitandaoni kuwa, mchezaji huyo ameshasaini mkataba wa awali na Simba sc.
Taarifa zingine zinadai kuwa mchezaji huyo anamkataba halali wa miaka miwili na Yanga sc.
Maswali ya kujiuliza, kwanini mpaka sasa mchezaji huyo ajajiunga na timu ili hali hana matatizo yeyote ya kiafya? Ni kweli amesaini Simba? Au amegoma makusudi kushinikiza madai yake dhidi ya timu hiyo?
Tusubiri sisi kama wadau michezo muda si mrefu tutajua, mbivu ni zipi,na mbichi ni zipi.
View attachment 1480196
Uwiiii. Nimeifuta post kumbe ushaibeba. Lol
Inamaana Mwenyekiti wa Yanga humjui?
Tumeifaidi shemela.Uwiiii. Nimeifuta post kumbe ushaibeba. Lol
Ndio. Huna habari?Kwani pale Utopoloni kuna uongozi[emoji16]