Ukweli juu ya uyahudi

Ukweli juu ya uyahudi

Status
Not open for further replies.

azzurre

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
107
Reaction score
96
Wayahudi ni akina nani?
Wayahudi wanatokana na kizazi cha Yakoob,ambacho kilikuwa kinaishi ktk nchi inayojulikana kwa jina la Kanian, Mzee huyu ndio chimbuko la wayahudi, wayahudi walihama Kanian na kuhamia misri, wakati Yussouf alipo pewa kuwa mkuu wa hadhina ya chakula cha nchi ya misri, na Yussouf amehamia Misri baada ya kuuzwa kama mtumwa baada ya kuokotwa kwenye kisima, baada ya kutupwa na kaka zake kutokana na chuki na hasadi walionayo, kwa Yussouf kwani baba yao alikuwa anampenda sana Yussuf kuliko watoto wengine.
Muda waliokaa Misri?
Ndugu/kaka zake na baba na mama yao, walihama Kanian, kwa ajili ya kumfuata Yussouf ambae alikuwa ameshapewa na fasi kubwa ya uongozi katika nchi ya Misri, kutokana na kuagua vizuri ndoto ya mfalme wa misri, kizazi hichi kilitawala misri kwa miaka mingi sana, mpaka alipokuja utawala wa mafarao, ambao ukaanza kuwatesa kwa kuwa hawakuwa watu wa misri, hivyo waliuliwa na kufanya kazi ngumu.
Kuzaliwa kw Moses.
Moses alizaliwa ktk kipindi ambacho Frauni, alikwa anawachinja watoto wa kiume wenye asili ya wayahudi, kutokana na tafsiri ya nsoto ya mfalme wa misri kuwa kijana wa kiyahudi atazaliwa na atamdondosha kwenye madaraka, hivo kwa kuzuia ndoto isiwekweli akamua kuuwa watoto wa kiyahudi, lkn hata hivyo Moaea alizaliwa na akaudondosha utawala wa Firauni,
Kwanini wa yahudi hawana nchi?
Wayahudi asili yao wanatoka Kannian, wakahamia misri, baada ya kufa firaun, wayahudi waliabudia Ngombe badala ya Muungu, hivyo ikampelekea kiongozi wao Moses kukasirika sana, hata hivo Muungu aluwasamehe, wayahudi wao hawakuwa wengi wao wakimuamini Mungu wa Moses, hivo wakawa wakaidi sana, Mosea aliwambia wangie ktk nchi fulani wakapigane na km wangelienda waliahidiwa kushinda, wakakataa, Muungu akakasirika nao, na kutoka hapo wakaalaaniwa katika maisha yao yote hawatokuwa na nchi yao au ardhi na vile vile hawatoweza kuwa na utawala pasipo kusimamiwa na taifa jengine.
Vp Wayahudi wamepata ardhi ya Iarail ya leo?
Kwa sababu wayahudi hawa kuwa na nchi maalum, walitapakaa sehemu mbali mbali, kuanzia bara arab, asia, africa na amerca, na kwa vile muungu amewabariki elimu na ubunifu, na uwezo mkubwa wa kutia fitna na kujitukuza, kutokana na ukweli kuwa mitume wengi wanatoka katika jamii yao na walipewa vitabu, hivo walikuwa na haki ya kihistoria kujitukuza, .
Kwanini wayahudi hawapatani na Waislamu?
Mitume mengi sana yanatoka ktk jamii ya wayahudi, na vitabu vyao walitabiriwa kuwa kutakuja mtume wa mwisho, lkn hakutajwa atatoka ktk jamii gani so walitarajia kuwa wao ndo watakao toa mtume wa mwisho, but Muungu akamtoa Muhammad s.w kutoka arab, ambao ni watu ambao hawakuwa na historia ya kutoa mtume wala kupewa vitabu vitakatifu, hivo wakasusa kumkubali ndo hadi leo sirahisi kumkuta myahudi akiwa muislam.
Vp wayahudi wameipta nchi hii inayoitwa Izrail?
Wayahudi walijipanga kununua ardhi katk nchi ya palestina, na wakafanikiwa kununua wakisaidiwa na muengereza na amerca,
Na baadae izrail, ikapewa uhuru ktk na ardhu walionunua, na wapalestina na waarabu walapinga lkn wayahudi walishinda ktk vita na kuteka maeneo mengi zaidi.
Mwisho wa myahudi?
Wayahudi wametabiriwa kushindwa na kuuliwa lkn yatatokeya haya, na itakuwa ni miongoni mwa dalili kubwa ya kumalizika kwa dunia na baada ya hapo uslam utayawala ulimwemgu, then utaondoka ktl dola na dunia itakuwa fujo kuliko tunavyo ona hii leo, na hapo dunia inaelelea ukingoni
 
Hakujawahi kutokea utabiri kuwa Muislam atatawala Dunia.... Muislam atataka vita kubwa lakini Atashindwa na hapo ndio atalia kwa kusaga meno...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom