A-Z herufi zote zinaitwa Alphabet. Ni maneno ya Kigiriki ambapo ndipo maandishi yalianzia (kwa upande wa Ulaya -maana inasemekana Wachina wamekuwa wanajua kuandika kwa zaidi ya miaka elfiu kadhaa). Alpha ndio herufi ya kwanza (ambayo kwa Kiarabu inaitwa Alif). Za Kiigiriki zinaendelea beta=b, theta =c na kadhalika na herufi ya mwisho ni Omega. Kwenye Kiarabu nazo herufi zinafanana na hizo kwa kiasi fulani. Sijui Kiarabu lakini najua kuna Alif, bee tee thee n.k. Wataalamu wa lugha hiyo wanaweza kueleza zaidi