Ukweli ambao prof.Muhongo ameficha

Prof Muongo angefanya kaz za kufundisha...
 
Kwa bahati nzuri Prof Muhongo hahongeki. Itakuwa shughuli pevu kwa Mengi
lakini wewe unahongeka ndo maana Muhongo amekuhonga umtetea humu pole sana umeshachelewa hatuwezi kukubali kuendelea kuwa waziri muhuni kama muhongo
 
lakini wewe unahongeka ndo maana Muhongo amekuhonga umtetea humu pole sana umeshachelewa hatuwezi kukubali kuendelea kuwa waziri muhuni kama muhongo
Nitasimama imara kumtetea Muhongo kwa vile kazi anayofanya kwa wananchi ni nzuri
 
sasa wewe salary slip huu unaoita ukweli unahusiana vipi na sakata la escrow? mbona hili ni suala la mwajiri na mwajiriwa? na kama hakuna alichofanya si mngemshitaki kwa aliyemteua? sasa huku kutumika kwa niaba ya RAM kwa nini ??? hakuna alichofanya lakini hakuna alichopokea kwenye escrow, vilevile hakuna maamuzi mabovu aliyotoa kwenye escrow. sasa mmekosa ya kumtuhumu mnaanza kupapatika na "ukweli" wenu ambao hata mtu wa kawaida ataona hauna uhusiano na tuhuma mlizomtupia. Ningekushauri wewe na wote mnaotumiwa na RAM, mwacheni aliyemteua aamue bila kumshinikiza na ataamua kwa busara tu....vinginevyo mtusubiri 2015 kama mnavyodai ili muitumie hii kama kete yenu ya kutubwaga...
 
Nashangaa sana Nipashe wanavyopambana na Prof Muhongo ambaye hajala fedha za escrow huku wakimpamba Ngeleja ambaye amepata mgawo wa fedha hizo. Hakika hawa Nipashe na bosi wao Mengi ni wanafiki wakubwa sana
 
Mengi pole sana muhongo namba nyingine hawezekaniki yeye ni mtu wa kazi wewe majungu.
kumbe watetea wafu mmehongwa wengi JK lazima amfukuze huyu mwinzi muhongo
 
Fuatilia kwenye mamlaka husika utajulishwa kinachoendelea. By the way nimetoka jana Dodoma na sijaexperience tatizo hilo labda wakati ule mitambo ya pale Mtera ilivyoharibika

Wiki nzima hakuna umeme mchana Dodoma!Hiyo jana unayosema mmechukua umeme asubuhi mmerudisha saa 12 jioni!Na kama ni sababu za kiufundi mmngetutangazia basi ili tupange ratiba zetu vizuri!
 
Nashangaa sana Nipashe wanavyopambana na Prof Muhongo ambaye hajala fedha za escrow huku wakimpamba Ngeleja ambaye amepata mgawo wa fedha hizo. Hakika hawa Nipashe na bosi wao Mengi ni wanafiki wakubwa sana
bora kuwa mlemavu wa kiungo kuliko mlemavu wa akili kama wewe kwa hiyo muhongo hana kosa
 
Salary Slip, mwandishi wa story huenda ama akawa hajui jinsi wizara ya Nishati na Madini/taasisi inavyofanya kazi au ametumiwa na yeye kufumbia jinsi taasisi zinavyofanya kazi. Kimsingi watendaji wakuu wa wizara ni Makamishina wakishirikiana na wasaidizi wao ambao wote ni watalaamu katika sekta husika. Waziri ni msimamizi mkuu na msemaji mkuu wa shughuri za wizara. Ubunifu wa miradi hufanywa na watalaamu waliopo wizarani na kuwa presented kwa waziri, na hapo ndipo tatizo lililopo kwamba waziri akiwa mburula wa profession fulani ndipo maamuzi yake yote yanaegemea utashi wa kisiasa kuliko utalaamu alioshauriwa. Huenda ikawa kweli kuwa miradi mingi ilibuniwa kufuatia matatizo yaliotuandama Tanzania kwa kipindi hicho cha hao mawaziri wengine lakini Muhongo amekuwa tofauti sana na waliomtangulia katika kuitekeleza kwani naye ni mtaalamu na hivyo aliiona miradi hiyo inatija na akaamua kuisimamia. Waliomtangulia walidhani wanadanganywa na wataalamu hao hivyo wakawa mguu mmoja kwa wataalam na mguu mwingine kwenye upepo wa kisiasa na kwa maslahi yao kisiasa na hivyo kupelekea kuchelewa kukelezwa kwa miradi iliokuwa imebuniwa na watalaamu wa wizara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…