UKUTA wakosa waandamanaji

Ngoja nilipie king'amuzi changu nifaidi uhondo wa 26/4
 
Mimi naona polisi ndio sasa wanafanya maandamano ya UKUTA badala ya wananchi bila kujijua, na tena wameanza mapema zaidi hata kabla ya tarehe yenyewe.
Kwa 'maandamano' haya ya polisi kila kukicha ndio naamini 'Faru Fausta' ni nooooma! (a.k.a. dada wa taifa)
 
Nitakuwa mkweli daima fitina kwangu mwiko ... wewe je!
 
Chondechonde Mhe. Mwigulu Nchemba, usikubali watu hawa kuamua wanavyotaka - nchi ina taratibu zake, taifa lina malengo yake, CCM tunafarijika kwa nchi kuwa na utulivu na amani.

Tusitoe nafasi kwa waasi watuvuruge - ni mara nyingine wameshika ajabu
 
Ni ushauri tu:-
Jana tarehe 9/8/2018 Mhe Freeman Aikaeli Mbowe (Mb) akiwa kijiji cha Kanyonza, Kata Kanyonza wilaya ya Kakonko kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buyungu namnukuu akisema "watu wa Kanyonza mkimaliza kupiga kura sogeeni Makao Makuu ya wilaya kusubiri matokeo ya uchaguzi"

Hapa namwona akihamasisha na kuchochea fujo - mie nawaomba wananchi mkishapiga kura tulieni majumbani mwenu kwa kuwa mna mawakala wanaosimamia kura zenu lkn pia Mkurugenzi wa Uchaguzi ni mtu poa sana.
 
Unaongea nn ww!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…