J Josaje Mtui JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 2,469 Reaction score 2,207 Feb 24, 2019 #2 Wale wamexicana ni shida..ni wadokozi balaa achilia mbali kuwauzia ngada na hawazuiliki hata kwa namna yyte cha msingi ni kukaa nao kwa akili tu na sio ukuta Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wamexicana ni shida..ni wadokozi balaa achilia mbali kuwauzia ngada na hawazuiliki hata kwa namna yyte cha msingi ni kukaa nao kwa akili tu na sio ukuta Sent using Jamii Forums mobile app
Gonzalo Miguel JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 850 Reaction score 661 Feb 25, 2019 #3 "Nimemwona El Chapo kushoto akjarbu bahat yake kuingia state"
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,079 Reaction score 13,960 Feb 25, 2019 #4 Watachimba hata chini kwa chini. Hao jamaa ni shida. Ila sipati picha kwa atakayekamatwa. Sent using Jamii Forums mobile app
Watachimba hata chini kwa chini. Hao jamaa ni shida. Ila sipati picha kwa atakayekamatwa. Sent using Jamii Forums mobile app