Ukuta wa simba ni kimombo tupu

Ukuta wa simba ni kimombo tupu

chanaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
344
Reaction score
190
Hbrn wana jamii,wale wa jangwan poleni sana ingawa mnadai lilikuwa bonanza sawa na lile la bodaboda pale leaders.Nicwachoshe sana,ni kwamba kwa taarifa yako mawacliano yanayofanyika ss ktk ukuta wa ssc ni kimombo tu,kuanzia kipa mpaka centerhalf
Mosoti 'Owino leave, its mine'
Owino'Mosot pull up'
Baba ubaya 'Hendry dont smock smock the ball clear'
Mapunda 'Shamte move forward'
 
hii haiwezi pita bila LIKE

Back
Top Bottom