Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,488
- 2,762
na nani?Tumeshasalitiwa wakuu
Usiogope ..mzee yuko pamoja nasi..alienda kukutana na hao jamaa kuandaa makao..tehtehetehTumeshasalitiwa wakuu
Usikate tamaa..songa mbele..no retreat no surrender[emoji41] [emoji41] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Viongozi wa UKUTA wapo kimya, makamanda wengine wamekamatwa bado Chama kipo kimya ata akitoi taratibu zozote! Mimi nishakata tamaa kabsa
Katika kusherehekea siku ya Usafi kwa ajili ya kuliunga mkono jeshi letu pendwa tarehe 01 Septemba, napendekeza zivaliwe Tisheti zenye maneno "UKUTA", yaani U-moja wa K-ufanya U-safi TA-nzania.
J. Mtatiro
Endelea kutega sikio .Viongozi wa UKUTA wapo kimya, makamanda wengine wamekamatwa bado Chama kipo kimya ata akitoi taratibu zozote! Mimi nishakata tamaa kabsa