Jamaa walikua wanafanya mazoezi kila cku kutisha wananchi hahahaaaa saiv hawafanyi tena mazoezi ya ukakamavuTunapoelekea kuaga Mwaka 2016 ni vyema saaaana kujikumbusha matukio mbalimbali yaliyo tokea nchini Lakini kwa maoni yangu Mimi UKUTA Ndio Tukio lilotikisa kwa Mwaka
Na kubomoa Billicanas... lakini iliyofeli vibaya sana.
Serikari imeingia hasara saaaana kufuatilia akili za upinzani kupitia UKUTAKweli kabisa Mkuu.
UKUTA ilitikisa sana.
Watu wazima na akili zao kulala katikati ya barabara kujifanya wanalenga shabaha halikuwa jambo dogo.
Mbaya zaidi, baada ya mazoezi na push up zote zile ambazo kwa namna yoyote ile lazima kulikuwa na gharama ambayo Serikali iliingia....
UKUTA haukufanyika...!!!!!
What a loss!