UKUTA inafeli vibaya

Mkuu hii habari ni mpya, Kumbe Joyce anatumika?? kwaiyo ndugu yetu kamanda ...hayuko salama??
Ndoa ni ya watu wawili tu...kwahiyo usalama wa yoyote ni suala la ndani si la kila mtu... operation ukuta ni la kila mtu na si la mahusiano
 
sasa si umesema joyce anatumika, that means she is against her husband's political ideology and secretly collecting intel for the enemies
 
Ndio nimesema anatumika yeye kama yeye sasa kama yuko against ni mumewe hayo hayanihusu
 
mshana jr unajua maana ujasusi, kama huyo joyce unathibitisha anatumika na huyo mume wake ni shabiki wa UKUTA basi hapo kuna VITA.

AU you want to retract your statement ??
 
Totally wrong kuwa mke na mume haimaanishi mule na misimamo inayofanana
Mimi namzungumzia Kiria as personal ID wewe unataka nizungumzie couples NEVER
 
Mbona ukuta wanajinadi wao ndo wana raisi ,watashindwaje?ambapo anaengoza uchwara dicteta wanataka kumng'oa?,kwa akili ya haraka haraka mpaka ieleweke ina maana gani kwa dicteta.
 
Hivi wewe ni SONGOKA au GONOKA? Lazima utakuwa TEAM WABONG'OAJI
 
Watapata shida sana wajaribu waone moto wake watapata shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…