ukurunzinza....

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,485
Tabia ya ubishi uliokithiri ni -ukurunzinza

Umemtongoza binti hataki unamng'ang'ania akubali ni- ukurunzinza

Muda wa kustaafu hutaki kuachia kiti ni- ukurunzinza

Umepigwa kibuti bado unajipelekapeleka wakati hutakiwi ni -ukurunzinza

Umejiunga jf muda mrefu bila kuposti kitu na kuleft hutaki -ukurunzinza

Miaka inaenda chuo humalizi na huna sababu ya msingi-ukurunzinza

Unataka mawazo yako yasikilizwe hata km yakipuuzi-ukurunzinza

Unakaa kwenye uchumba miaka kenda(uchumba sugu)- ukurunzinza

# ukikutana na watu wenye tabia km hizi pindua, komesha ukurunzinza#

#acheni ukurunzinza#
 
Ukurunzinza upo kila mahali ona hii
 

Attachments

  • 1431882947622.jpg
    47.5 KB · Views: 543

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…