Ukumbusho: Mke wa mtu sumu

luse

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2012
Posts
592
Reaction score
1,049
Watu wanajisahau sana siku hizi, kazi kula vya wenzao tu.

Just posting this video ilikuweka reminder kwa wale wanaopenda kugonoka na wake za watu, kuwa hata hili linaweza likawatokea na wao pia.

Zamani watu walikuwa wananatana, naona hii style ya kamata mwizi imerudi tena.

The video below, ni watu wamenatana baada ya jamaa kukutwa anagegeda wife wa rafiki yake, tena kupitia ule mtandao pendwa. This happened somewhere in Kenya recently.

NI AIBU. So guys next time kabla hujataka kugegeda mke wa mtu, fikiria aibu utakayokumbana nayo baada ya kukutokea kasumba kama hii.

 
wakenya tumewachoka na hizi.muvie zao...kila tukio kama hili.kwao tuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe hii imefika tanzania duh!
Kweli waafrica wachawi
 
Huyo rafiki nae hafai. Mke naye bomu angefanya na hasiemjua mumewe...

Ila mume katega baada ya kuhisi kitu, haswa labda kwa mkewe au walivyo.
 
Unafikiri hawajui kuna hayo mambo.!? Vichwa ngumu tuu..!!
 
duuuh na mume wa mtu ni sumu pia

kama mtu umeamua kuhangaika...bora uhangaike na mwenzio ambae hajaoa au kuolewa
 
Hii bongo haijawah tokea bdo eeehh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…