Ukumbi

Ukumbi

ntule

Senior Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
104
Reaction score
29
Nimefungua ukumbi wa mpira sasa naombe ushari wa jina LA ukumbi lenye kuvutia washabiki wa mpira
 
Football live. Or kama sio soccer sasa sijui ufanyeje
 
Fanya tafiti ndogo ujue huo mtaa una mashabiki wengi wa timu gani then uite jina la uwanja wao. Mfano kama mashabiki wengi wa Chelsea basi uite Stanfordbridge.
Hongera kwa ulichokifanya.
 
Back
Top Bottom