Tatizo shughuli yenyewe imekufa mkuu! Haitakuwepo tena.Pole,je huwezi kusogeza siku mbele kwa a lil additional cost?
Utapata tu mtu.Tafuta contacts za ma MC ujaribu kucheck nao ama hata kwenye majumuia huko ulizia ulizia unaweza pata mtu.
Naamini utafanikiwa
Shughuli imekufaa Shauri Mbaya! Haitakuwepo tenaleo ni tarehe 20.. na imebaki mwezi mmoja tu kufika tarehe yako unayotafuta mtu.
kiukweli ni ngumu kupata harusi inayoandaliwa kwa mwezi mmoja tu.. au ambayo haina ukumbi mpaka leo...
ushauri tu sogeza siku mbele pale pale kwenye ukumbi watakuelewa..
nao wanakataa sabab wanajua hawawezi pata mteja mpya kwa mwezi mmoja uliobaki
Dooh! Pole mkuuBinti alikubali kubadili dini sasa wazazi wake wamemkatalia hatua za mwisho wakati karibu anamaliza mafundisho, biashara imeishia hapo
Sasa ndio mmechana kabisa au mnafunga ya boman tu?Asante sana Valentina
Sasa ndio mmechana kabisa au mnafunga ya boman tu?Asante sana Valentina
Umempenda kweli? Kama kweli mtie mimba, then wazazi watakususia , utachukua mke kiulaini.Binti alikubali kubadili dini sasa wazazi wake wamemkatalia hatua za mwisho wakati karibu anamaliza mafundisho, biashara imeishia hapo
Jaman Pole sana Mkuu! Aisee shetani hafai kabsa,Binti alikubali kubadili dini sasa wazazi wake wamemkatalia hatua za mwisho wakati karibu anamaliza mafundisho, biashara imeishia hapo
poleAsante sana Valentina
ulienda kwenye mkutano wa injiri wa frank?niliona kipindi Chanel ten akiwa chuga,Sasa ndio mmechana kabisa au mnafunga ya boman tu?
Hapo ukumbini ni kwa ajili ya sherehe ya ndoa yenu tu na wala siyo mahali pa kufungia harusi, harusi ni msikitini, kanisani, bomani, kwa ushauri wewe fanya sherehe halafu ndoa ifuate, au la muende bomani kinachotakiwa ni cheti cha ndoa tu ili uwe na kinga ya kisheria juu ya huyo mwanamke,
Hao jamaa wa dunken wapo sahihi, wewe mwenyewe ndo ulikuwa na kiranga ukakurupuka. wazazi wa binti huwa wanatumia sana hicho kiranga kama advantage, mke ni kama kipepeo ukimfuata kwa pupa unamkosa, ila ukitulia atakuja mwenyewe kutua begani.