Peculiar JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 821 Reaction score 689 May 6, 2015 #1 Waungwana tuambiane, Hivi ukubwa wa mtu unapimwa kwa kuangalia nini? -umri alionao? -majukumu aliyonayo? -mawazo aliyonayo? -pesa aliyonayo? Au nini? Maana kila kila mtu siku hizi anajiona mkubwa!
Waungwana tuambiane, Hivi ukubwa wa mtu unapimwa kwa kuangalia nini? -umri alionao? -majukumu aliyonayo? -mawazo aliyonayo? -pesa aliyonayo? Au nini? Maana kila kila mtu siku hizi anajiona mkubwa!
jumawaziri Member Joined Aug 11, 2014 Posts 20 Reaction score 6 May 6, 2015 #2 Kwanza umri na uwezo wa kufikiri
Peculiar JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 821 Reaction score 689 May 6, 2015 Thread starter #3 jumawaziri said: Kwanza umri na uwezo wa kufikiri Click to expand... Kuna wengine umri mkubwa, Maneno yao mazuri. Wavivu wa kazi,hawa taki majukumu, Mambo yao ya kitoto toto. Unakuta hata familia zao zinalelewa na watoto wao. Yan mtoto akatafute ndio alete,wengine wale. Sasa hao wengine ni wakubwa hapo?
jumawaziri said: Kwanza umri na uwezo wa kufikiri Click to expand... Kuna wengine umri mkubwa, Maneno yao mazuri. Wavivu wa kazi,hawa taki majukumu, Mambo yao ya kitoto toto. Unakuta hata familia zao zinalelewa na watoto wao. Yan mtoto akatafute ndio alete,wengine wale. Sasa hao wengine ni wakubwa hapo?