Ukubwa wa mnyama Tembo!

Nyanidume

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
2,411
Reaction score
1,153
Kwema wadau?. Nimepita maeneo fulani ambapo kuna kijiwe cha pikipiki, nimeukuta ubishani mkubwa wa madereva wa pikipiki. Ubishani huo unamhusu mnyama Tembo, kuna wanaosema Tembo mkubwa akisimama, binadamu anaweza pita uvunguni mwake nae akiwa wima. Kuna wengine wanasema hapana, kwamba Tembo hana ukubwa huo wa kutosh binadamu kupita. Ubishi mwingine unahusu urefu mnyama Twiga, wanasema eti akisimama uvungu wake inaweza pita gari aina ya Landcruiser?, naomba majibu sahihi wadau.
 
Hujafika hata mbuga Moja?
 
Kwenda Mikumi si zaidi ya masaa manne na viingilio ni nafuu sana.

Tembo mkubwa hufikia urefu wa mita 3.2 na uzito mpaka wa kilo 6000 yaani tani 6. Hiyo ni kwa aina ya African bush elephants. Wamejaa Mikumi.
 
Ni kweli kabisa...! Pia ana papuchi kubwa sana... ukiingiza, unaogelea..!

😀😀
 
Tena sikio moja la tembo watu kumi wanaweza kulalia
 
hvi wadau tembo dume bao lake 1 lina kuwa na ujazo wa Lita ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…