EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
However, the hopes were dampened on June 8 when a battlegroup unexpectedly encountered a perilous minefield south of Mala Tomachka in southern Ukraineβs Zaporizhzhia Oblast.
hapo chini kuna website usiwe mvivuLete vyanzo vya uhakika ili tufanyie kazi hoja yako., sio ku-copy na kupaste bolgs za Internet hapa kila saa
ni jamii ya blogs hizi taarifa hazipo kwenye media nyengine yoyote hadi sasa, ni propaganda at its besthapo chini kuna website usiwe mvivu
euroasiatimes ni Blog?
Jamaa wananyukwa kishenziLeopard imejipumzisha
ingia kwenye hio web uone mangapi Anti-Russia yanaandikwani jamii ya blogs hizi taarifa hazipo kwenye media nyengine yoyote hadi sasa, ni propaganda at its best
Siku hizi hata aljazeera ambayo iliteea wapalestina saivi unaisikia?ni jamii ya blogs hizi taarifa hazipo kwenye media nyengine yoyote hadi sasa, ni propaganda at its best
Mkuu, unajihangaisha bure. Hawa jamaa mie nilisha-conclude 100% kwamba hawajui kusoma. Nadhani huwa wanapost ^copycats^ ndiyo kazi waliyoajiriwa kwayo.ingia kwenye hio web uone mangapi Anti-Russia yanaandikwa
π«±π»βπ«²π½π«±π»βπ«²π½π«±π»βπ«²π½π«±π»βπ«²π½π«±π»βπ«²π½Mkuu, unajihangaisha bure. Hawa jamaa mie nilisha-conclude 100% kwamba hawajui kusoma. Nadhani huwa wanapost ^copycats^ ndiyo kazi waliyoajiriwa kwayo.
Siku kp kipanya44 na binamu yake umshana wakijua kusoma, wataicha hii ajira ya NATO asubuhi na mapema.
Wanajipofusha π€£π€£π€£Jamaa wananyukwa kishenzi
Media nyingi ni za West na USA, usitegemee kupata kile ambacho ni halisi.ni jamii ya blogs hizi taarifa hazipo kwenye media nyengine yoyote hadi sasa, ni propaganda at its best
Kama walivyoiteka Aljazeera saivi unaisikia?Media nyingi ni za West na USA, usitegemee kupata kile ambacho ni halisi.
Russia sio waongeaji sana, wapo kwa vitendo zaidi.
Urusi si waongeaji lakini wakiongea pia hawajuwi wanaongea nini, walisema Moscow ikishambuliwa wataamsha popo kwa nuclear sasa Putin anashindwa kuchapa usingizi ndani ya Ikulu ya kremlin anijificha huko kusikojulikanaMedia nyingi ni za West na USA, usitegemee kupata kile ambacho ni halisi.
Russia sio waongeaji sana, wapo kwa vitendo zaidi.
We jamaa unapenda sana kujipa moyoUrusi si waongeaji lakini wakiongea pia hawajuwi wanaongea nini, walisema Moscow ikishambuliwa wataamsha popo kwa nuclear sasa Putin anashindwa kuchapa usingizi ndani ya Ikulu ya kremlin anijificha huko kusikojulikana
Hii vita bado haijasha tu? Tuliaminishwa kuwa Urusi ana nguvu kijeshi na silaha nyingi ambazo ni hatari kwenye uwanja wa vita.hapo chini kuna website usiwe mvivu
euroasiatimes ni Blog?
Anapigana na mataifa 30+ na anawatoa jashoHii vita bado haijasha tu? Tuliaminishwa kuwa Urusi ana nguvu kijeshi na silaha nyingi ambazo ni hatari kwenye uwanja wa vita.
Nilitegemea ndani ya siku 30 akichelewa sana mpaka miezi 3, Ukraine yote inakuwa chini ya mrusi. Ha ha ha ha. Sasa hivi sijui mwaka wa ngapi huu bado anakomaa.
Urusi hii vita alikurupuka 100%
Ha ha ha ha haAnapigana na mataifa 30+ na anawatoa jasho
Hajawaona kwani ulitaka wavae bendera zao?Ha ha ha ha ha
Sasa mbona sijaona majeshi ya nchi hizo 30 wakipigana? Wanapigana wenyewe wakiwa wapi? Ha ha ha ha ha
Anawatoa jasho au mrusi ndiyo anatoka jasho? Ukraine ni siku 30 au miezi 3 tu nchi tayari umeichukua.
Achana na mbepari ana akili sana, anaamini katika muda na watu. Libya imepigwa huku watu wapo kwenye nyumba zao wanakunywa juisi kwa mrija na kula kuku huku wamekunja nne halafu wakanyonya mafuta.
Kwa dharau ya Korea Kaskazini, Marekani angeshaingia vitani ila alijiuliza nitapata nini nikishinda au nikishindwa vita?