Ukraine yalipua Kikosi cha anga Sevastopol

Pearce

JF-Expert Member
Dec 15, 2018
577
1,381
Kama adha kama dawa Sigara yazidi kufuata Vikosi vya Urusi vinavyojaribu kujichmbia ndani ndani kabisa ya Crimea kujinusuru na matumizi ya Sigara. Kwa Bahati mbaya walipo wana Z na Sigara itakuwepo tu karibu zaidi.

Tumeshuhudia Hypersonic nadhani Urusi kabakiza tu Nyuklia na wanamsubiri tu Urusi hana vifaa vya kuweza rusha Nyuklia Makombora 2000 kwa wakati mmoja.

Kwahiyo atakaporusha hata 20 kwa wakati mmoja atakutana na majibu yake sababu hata Swaiba wake Mchina hawezi kumsapoti Ujinga huo wakati yeye akitafuta kila mbinu ya kuwa Crown of Economic Super Power

Hatuuujamalizaaa mlete Sigara mlete Sigara mlete Sigara

Kwa Udhamini wa: Na log off Z, Bwana Mihangaiko (Struggle Man) na Warusi wa viunga vya Buza na Tandika Kaburi 1 Et al

View attachment 2328327
 
Silaha za NATO zinazoenda pale Ukraine ni za kawaida tu lakini mbilinge lake sio dogo. NATO ingesema hii vita iishe ndani ya mwezi mmoja kwa kuyaondoa majeshi yote ya Urusi, wala wasingeshindwa.

Ni ukweli usiopingika, Russia alikuwa overrated mno kabla ya hii anayoita Operation. Hii OP ni kama imeenda kumuweka uchi na kila mtu kumtambua vizuri.

Na angesema azipige na Japan, angejuta zaidi.
 
Kama adha kama dawa Sigara yazidi kufuata Vikosi vya Urusi vinavyojaribu kujichmbia ndani ndani kabisa ya Crimea kujinusuru na matumizi ya Sigara. Kwa Bahati mbaya walipo wana Z na Sigara itakuwepo tu karibu zaidi.

Tumeshuhudia Hypersonic nadhani Urusi kabakiza tu Nyuklia na wanamsubiri tu Urusi hana vifaa vya kuweza rusha Nyuklia Makombora 2000 kwa wakati mmoja.

Kwahiyo atakaporusha hata 20 kwa wakati mmoja atakutana na majibu yake sababu hata Swaiba wake Mchina hawezi kumsapoti Ujinga huo wakati yeye akitafuta kila mbinu ya kuwa Crown of Economic Super Power

Hatuuujamalizaaa lete Sigara lete Sigara lete Sigara

Kwa Udhamini wa: Na log off Z, Bwana Mihangaiko (Struggle Man) na Warusi wa viunga vya Buza na Tandika Kaburi 1 Et al

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
View attachment 2328327
Ambatanisha na chanzo cha taarifa kwa rejea zaidi sio unakaa unaandika mawazo yako
 
Back
Top Bottom