prettydiva Senior Member Joined Feb 19, 2014 Posts 101 Reaction score 39 Feb 19, 2014 #1 Habari wanajamvi. Mimi mdau mpya, kiukweli nimemaliza BA.Sociology 2011 lakini still sina job, nina experience ya sales & marketing ya mwaka na nusu, mwaka jana ajira iliisha na nmewaza kujiajiri ila tatizo mtaji.. Naombeni msaada wenu jaman.
Habari wanajamvi. Mimi mdau mpya, kiukweli nimemaliza BA.Sociology 2011 lakini still sina job, nina experience ya sales & marketing ya mwaka na nusu, mwaka jana ajira iliisha na nmewaza kujiajiri ila tatizo mtaji.. Naombeni msaada wenu jaman.
Blessed Keinerugaba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 4,789 Reaction score 4,851 Feb 19, 2014 #2 Pole sana Prettydiva siku moja utapata ajira tu,so far tume ya ajira wametoa nafas kadhaa za social workers,try ua lucky!
Pole sana Prettydiva siku moja utapata ajira tu,so far tume ya ajira wametoa nafas kadhaa za social workers,try ua lucky!
prettydiva Senior Member Joined Feb 19, 2014 Posts 101 Reaction score 39 Feb 19, 2014 Thread starter #3 asante sana Blessed ntajaribu kwani sikati tamaa natumai ipo cku
dogojanja 87 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 882 Reaction score 213 Feb 19, 2014 #4 chungulia www. ajira.go.tz kuna nafasi 184 za social welfare officer zimetangazwa
prettydiva Senior Member Joined Feb 19, 2014 Posts 101 Reaction score 39 Feb 19, 2014 Thread starter #5 Asante sana Dogojanja ngoja nijarbu labda ntabahatika,nimeshafanya applctn karbu 100 lakn wap.