Ukoo wa Sengiyumva popote mlipo huko Ngara

Inasikitisha. Lakini,mngetafuta walokuwa watu wake wa karibu,wangewaongoza au wangewapa ukweli. Kwenye kutafuta kuna mengi,na siri nyingi. Kwa hilo jina? Ngara? Nina mashaka kidogo. Ingekuwa vyema watu wanaoajiri au kupangisha,wawe na taarifa za mtu wa kaaribu litokeapo tatizo ghafla.
 
Ndo maana wanawake,basi tuu. Wakatili zaidi ya fisi. Una ujauzito,baba kijacho hakika hajulikani,na umepata ujasiri wa kuzaa. Hata kama kwenu hali si shwali,si unaomba msamaha unarudi,wanakuhudumia wanavyoweza? Sema wengine wakipatapata hizo jero jero huwasahau walikotoka,wakiishiwa wanaanza kujiuliza walivyostarehe wenyewe na leo waanza kuwasumbua watu! Huku ni kutesa watoto tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…