Tanzania Mpya
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 252
- 145
Najua kinachokusumbua ni kujua lini Mzinzi ataacha uzinzi, Hiyo ni hulka ya mtu na haina umri, ndio maana kuna Mashuga Mami na mapaka shume, tena sasa vibibi vingi vina zini na watoto wadogo,
Kuna swali huwa najiuliza, naomba jibu kwa mwenye kujua. Hivi hawa wanawake warembo, machachari na wanaosumbua mitaani, urembo wao hukoma wanapofika umri gani? Ni ktk umri upi mwanamke hajisikii kutembea mapaja na matiti yakiwa nje? Ni ktk umri upi mwanamke hawi tena kivutio kwa wanaume?
kuacha mapaja nje ni uzinzi?
Na ili mtu awe kaacha mapaja nje, atoke na blauzi tu au sketi fupi? Na ili iwe fupi ikomee wapi?
Kimtokacho mtu ndio humtia najisi, na si kimwingiacho.
Kuna swali huwa najiuliza, naomba jibu kwa mwenye kujua. Hivi hawa wanawake warembo, machachari na wanaosumbua mitaani, urembo wao hukoma wanapofika umri gani? Ni ktk umri upi mwanamke hajisikii kutembea mapaja na matiti yakiwa nje? Ni ktk umri upi mwanamke hawi tena kivutio kwa wanaume?
Jibu lako laweza kuwa na ukweli lkn kwa asilimia 50 kwani kuna baadhi ya wadada once ukishamvua ndo unagundua na uzuri mwingine ambae ulikuwa hujauona kwa jicho la juu.Sasa waweza kwenda kwa lengo la kupita then ukajikuta unatamani ujiweke milele.mhm...wacha bwana watupe raha sie maana sinema za bure mie napenda sana.
uzuri wake unaisha pale unapoenda kumpigia puchu au pale unapofanikiwa kumvua tchupi....hana jipya tena
Jibu lako laweza kuwa na ukweli lkn kwa asilimia 50 kwani kuna baadhi ya wadada once ukishamvua ndo unagundua na uzuri mwingine ambae ulikuwa hujauona kwa jicho la juu.Sasa waweza kwenda kwa lengo la kupita then ukajikuta unatamani ujiweke milele.
[B said:Ni ktk umri upi mwanamke hajisikii kutembea mapaja na matiti yakiwa nje? Ni ktk umri upi mwanamke hawi tena kivutio kwa wanaume?[/B]
Beauty is in the eye of the beholder. Unaemwona kazeeka na hakufai anaweza akawa kama almasi kwa mwanamme mwingine. Unaemwona anatembea na matiti na mapaja nje anaweza akawa anakuvutia wewe lakini anamtia kinyaa mwingine regardless of age. Na just because wewe unamwona havutii tena haimaanishi kwamba yeye hajioni mrembo hata kama mwili wake sio kama ulivokuwa alipokuwa kijana. Therefore, hakuna umri ambao mwanamke anakuwa sio kivutio kwa mwanamme. Hiyo inategemea na mentality ya mwanamme. Ulishawahi kusikia watu wanaoana , baada ya miaka mitatu mwanamme alishachoka mkewe?
Naomba niulize, ni katika umri upi mwanamme anakuwa sio kivutio kwa mwanamke?
Uzuri wa mwanamke unakoma Pale utakapoacha kumtani kimapenziKuna swali huwa najiuliza, naomba jibu kwa mwenye kujua. Hivi hawa wanawake warembo, machachari na wanaosumbua mitaani, urembo wao hukoma wanapofika umri gani? Ni ktk umri upi mwanamke hajisikii kutembea mapaja na matiti yakiwa nje? Ni ktk umri upi mwanamke hawi tena kivutio kwa wanaume?