Ukoloni mamboleo

Musangaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2021
Posts
505
Reaction score
557
Jamani watanzania wanateseka ndani ya nchi Yao. Popote ukikutana na madhira Yao tuwafariji.
Nchi ishakuwa ngumu hii.
 

Attachments

  • IMG_20250330_133959_590.jpg
    432.2 KB · Views: 19
Ulitakaje?

Masharti yoote poa ila namba 16, jiandae kuporwa nyumba muda ama wakati wowote 😂😂🤣
 
Standard nzuri sana ya kuhakikisha mkataba unaelezea kila aina ya mazingira ili kutunza mali.

WaTanzania hatuna utamaduni huu, ndiyo maana tunaona ni kero hivyo mali iwe ya kampuni au nyumba zetu tunaona aibu kuweka mambo yote wazi. Mwisho wa siku kukitokea madhara tunalalamika.
 
Itakuwa. Maana wanalalamika Hadi utawaonea huruma hata kama ni wewe ukikutana nao,
 
Hii ni ya hapahapa Tanzania?? Ni wakina nan hao wanaoishi hizo nyumba?
 
Hii ni ya hapahapa Tanzania?? Ni wakina nan hao wanaoishi hizo nyumba?
Ni ya hapa hapa Tanzania. Wafanyakazi wa kampuni ya Gardaworld ndiyo wanaoishi kwenye nyumba hizo. Kuna mmoja wao kanitumia hiyo sample ya maktaba kuwa wanaonewa ikiwezekana wapaziwe sauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…