Uko Zanzibar Kuna kampeni kweli?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,939
Reaction score
10,823
Yawezekana ACT WAZALENDO wakaanza kampeni Bila mgombea wa jamuhuri?

Lakini niliona hta Mwinyi alichukua peke yake baada ya Samia kuchukua

Je yupi ni WA muhimu
Kati ya mgombea wa jamuhuri na mgombea wa Zanzibar?

Kama nchi ni Moja kwa Nini vyama wagombea wasichukue siku moja na wazindue kampeni siku moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…