Uko wapi ukweli kuhusu panya road?

Next time watakufikia tu mkuu na huwa ni tukio la dakika chache maana wanafanya kazi yao kwa tahadhali kidogo wanachokipata wanatoweka
Duh[emoji102][emoji102]
 
Panyaroad wapo central sa hizi naona mji umetulia, wapelekwe ukonga wakale mafunzo ya ujasiliamali miaka 3, sababu ya kuwa idle ndo maana wanafanya uhalifu
 
Omba yasikukute. Pale Tabata kisiwani watu wamechezea visu na mapanga halafu wewe unaleta utani.

Kunduchi hadi mtoto wa miaka Tisa/9 kala mapanga ya panya road halafu wewe unaleta story za sungura na fisi.

Jaribu kufatilia vyombo vya habari hasa TV ili ujionee kwa macho sio kushinda tu Instagram kuangalia makalio ya kina Gigy money.
 
Mkuu umenielewa vibaya,simaanishi kwamba Panya Road hakuna ila kuna vitu vinakuzwa kuliko uhalisia.
Watu wa mtaani wanazidishia mambo
 
Huu upuuzi nimefika hom jion hii naskia dada mmoja anaongea njian nimeona panda Road bonyokwa wana mapanga wapo wengi.

akaniambia jitahid kuwahi kurud kwako!! Nimemjibu acha upumbavu watu wanatembea tu wapo na mambo yao ww unasema umeona panya Road kanijibu kwa nyodo nimemuona ni mpumbavu tu
 
Mkuu hata picha huoni kama kusoma hujui
 
Ntafute nikurengeshe kwenye machimbo yao ukawe chakula chao mkuu ili uamin
 
Huyo babu yako kilaza kakuona wewe ni boya ndio maana kakupa story ya uongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Muongo tu miaka anayodai mm nakumbuka, wez kibao na polisi wetu walikuwa mahiri Sana wanakutia hatiani ila ukilipa Mali ukiyoiba unaachiwa
 
Next time watakufikia tu mkuu na huwa ni tukio la dakika chache maana wanafanya kazi yao kwa tahadhali kidogo wanachokipata wanatoweka
Sie huku Dom mbona hawaji ?
Nawatamani sana wakija huku watembelee kwenye banda langu la kuuzia majeneza niwacharange mapanga halafu majeneza nawapa bure
 
Muongo tu miaka anayodai mm nakumbuka, wez kibao na polisi wetu walikuwa mahiri Sana wanakutia hatiani ila ukilipa Mali ukiyoiba unaachiwa
Acha uwongo kipindi hicho Bado upo katika zipo.
Wakati huo Msimbazi police ndio inahudumia Dar yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…