Goodluck Mshana
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,272
- 1,128
Niseme kwa moyo mgumu na wenye vidonda ya kwamba nimesikitishwa na aliyotenda msomi, mbunge, na aliyekuwa waziri wa Elimu Prof. Juma Kapuya. Haikuwa taarifa nzuri kwangu na kwa chama chake pia kwani nilikuwa nikimuangalia Kapuya kama mzazi wa baadhi ya watoto wakitanzania. Na kama hiyo haitoshi mtu huyu ni kiongozi wetu tena wa aliyekuwa kwenye idara nyeti ya Elimu. Well, limeshatokea la kutokea na sasa limekuwa mjadala mzito kuwa mheshimiwa 'kabaka'. Ameanza mahusiano na binti huyo ambaye kwa wakati huo alikuwa na miaka 14 mwaka 2011. Umri wangu wakati huo ulikuwa miaka 28. Kwa hesabu nyepesi nilikuwa nimemzidi muhanga huyo kwa miaka 14. Umri wa mdogo wangu wa pili. Kipindi ambacho sikuwahi ama kuwaza kuwa na binti wa rika hilo. Na hata kama ingetokea basi maadalili na malezi niliyolelewa yasingeweza kunisukuma na kuwa Kapuya!
Kubwa linalonihuzunisha hapa si tu kwa babu huyo kufanya ngono na mtoto huyo, la hasha. Maana hii ni kawaida kwa wabunge wetu hasa tukirejea mbunge wa Chama Chama cha Mapinduzi (CCM) (Viti maalumu) Mh. Rosweeter Kasikila mwenye umri wa miaka 60+ kuingia kwenye dimbwi la mahaba na kijana (Michael Christian) wa miaka 26. Kwenye hili mchungaji aliyehalalisha ndoa hii ni wa CCM Mh. Mama Rwakatare. Linaloniuma mno ni kuambukizwa virus vya UKIMWI kwa mwanafunzi/ mtoto huyo. Hapa inamaana ndoto na malengo ya mtoto huyo zimefifishwa na bazazi aliyechuma na kuijenga family na watoto wake vizazi na vizazi.
Nimefwatilia habari hii kwa upana wake na nikajiridhisha kuwa Watanzania hatupo salama. Ni wenye fedha na nyadhifa zao ndiyo wapo salama na familia zao. Ni dhahiri pia dada wa mtoto anayedaiwa kubakwa alifika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) juzi asubuhi kuonana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, ili kuomba chama kimsaidie kumbana Profesa Kapuya, ambaye alikuwa ameanza kuwatisha yeye na mdogo wake. Hata hivyo, kwa mujibu wa mtoto huyo, Kinana alisema suala hilo si la chama bali la Profesa Kapuya binafsi.
Watanzania mliofanikiwa kuingia darasani tujadili hapa bila ushabiki wa vyama. Hivi Kinana alikuwa sahihi kumfukuza binti huyu muathirika aliyeamini mkombozi wake ni CCM? Na je endapo binti huyo angekuwa ni mtoto wa Kinana wa kumzaa, au wa Nape ama wa Mwigulu angemwambia swala hilo si la chama na kumwacha atokomee akiwa amepoteza matumaini ya kuishi kwani uhai wake ulikuwa matatani kwa wakati huo?
Pili, Serikali hii hii ya CCM inayomiliki vyombo vya dola ikiwemo polisi waliombwa msaada na binti huyo kupitia kituo cha polisi cha Oysterbay lakini jambo hili lilisuluhishwa kimtaani zaidi. Baada ya mtoto kuripoti kinachomsibu Polisi walilazimika kumwita Kapuya na wakawasuluhisha kwa makubaliano kwamba Kapuya atakuwa anamlipia ada, na kumpa pesa za matumizi sh. laki tatu kila mwezi, jambo ambalo amekuwa akilitekeleza kupitia simu yake ya mkononi 0755993930. Swali: Hivi angekuwa ni mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani Tundu Lisu, ama Mh. Godbles Lema ama Mh. Mnyika na wao wangeitwa na kufikia makubaliano ya kumhudumia binti aliyebakwa na kupewa virusi? Je swala la ubakaji siku hizi ni lakujadiliana na kufikia makubaliano kwenye vituo vya polisi?
Tatu, Polisi wa Oysterbay walikubali kulipeleka tatizo hilo kwa Katibu wa Bunge, ambaye alimwita mwanafunzi huyo na mdogo wake waende Dodoma kukutana na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ingawa walipofika Dodoma walikaa na kamati ya hiyo kwa maelezo kuwa Kapuya hakuwepo hadi Bunge lilipoisha walirejeshwa Dar es Salaam. Swali: Hivi speaker wa bunge ambaye na yeye mwenyewe ni mwanamke hakulijua swala hili? Katibu wa bunge alichukua hatua gani za kinidhamu na za kiubinadamu kumsaidia binti huyo? Ni ukweli kwamba binti huyo hakupata msaada toka bungeni. Chombo kinachotunga na kusimamia sheria kimemwacha mtoto yatima auwawe na Kapuya. Je mtoto huyu naekuwa ni wa Job Ndugai, Lukuvi, Wasira, JK ama Speaker Makinda angejibiwa kuwa Kapuya hayupo?
Binti maskini, binti muAthirika, binti yatima, binti mbakwaji kwasasa anatafutwa kwa udi na uvumba ili kuweza kupoteza ushahidi ya ushetani huu. Binti huyu anatafuta usalama ndani ya serikali ya CCM chini ya Kinana, Jeshi la Polisi na Bunge. Je atakuwa salama wakati vyombo hivi vilishamsaliti na kumlinda mbakaji? Nchi za wenzetu mpaka sasa wakina mama wangekuwa mabarabarani kulaani kitendo hiki. Vijana joto lingekuwa limepanda kushindikiza mbunge huyu ajiuzulu nakuburuzwa mahakamani haraka sana. Barabara zingekuwa zimefungwa na mabomu ya machozi yangekuwa yanasikika. Lakini kwakuwa mtoto huyu ni yatima na wala si mdogo wako, dada yako, mtoto wa shangazi ama mjomba wote tumekaa kishabiki kwenye mitandao ya kijamii tujadili kadhia hili kwa ushabiki.
CHADEMA mmekuwa mkifanya maandamano nchi nzima kutetea haki za wanyonge. Huu ndiyo wakati mwafaka kuonesha kuchukizwa na kusononeshwa na mauaji haya. Wekeni kalamu pembeni, wekeni computer zenu pembeni, wekeni magari yenu pembeni, fungeni nyumba zenu tukamtetee mtoto huyi wa shule. Hamtaishi milele, mtakufa na watoto wenu watakuwa yatima. Nao watafanyiwa hivi na watakosa wakuwatetea. Watanzania wenzangu tuoneshwe kuchukizwa na hili. Ningependa kuona wabunge wote kuchukizwa na hili (japo nimewatilia mashaka kwani mlimfukuza). Wanafunzi vyuo vikuu likataeni hili na muionyeshe serikali kuwa UWAZIRI BILA UBAKAJI UNAWEZEKANA. Wekeni madesa pembeni waambieni wahadhiri tumechikia tunataka kuokoa maisha ya mtoto wa kike. Wanafunzi kwenye masekondari vivyo hivyo kataeni hili kwani nanyinyi ni mayatima wa kesho.
Kapuya kujiuzulu haitoshi. Anza kuiomba radhi familia yako, wananchi wa jimbo lako, watanzania wote na serikali yao dhalimu. Waambie pesa na madaraka ndiyo yamekusukuma kufanya hivyo. Wahakikishie watanzania mtoto wao atakuwa salama hata kama ataendelea na dozi ya ARV. Waachie wamtunze na UJINYONGE.