Uko wapi? Njo 'ISRAEL PUB' tupo na Yuda ana Mihela balaa ! Kashamuuza YESU, hapa ni Nyama Choma & Mvinyo kwa kwenda mbele; si Petro, Luka, wala Marko wote wako chakari, Petro hafai eti anacheza kiduku. mi nipo VIP na PILATO,.tumemtuma YAKOBO akalete VIROBA GALILAYA.