Badala ya kunipa hongera? Miaka 34 kwenye pingu siyo kidogo ati?Duuh pole sana.
Siyo kweli. Chemistry ikikubali unaenjoy sana ndoa. Jiulize kama una kaka au dada simnagombana kila siku at the end of the day mnakula sahani moja? Kwenye ndoa ndo usiseme mkikwaruzana basi mahaba yakitoka hapo ndo usiseme. Mme wangu siyo chokoraa wale wanakula kila taka taka. Namwamini naye ananiamini na kuniheshimu. Tuna wajukuu sasa. Mimi nimeridhika yeye anaogopa kukimbiwa na watoto akitetereka na mie kumfukuza maana inabidi yeye aachie ngazi. Nyumba tumejenga wote, watoto tumezaa wote wala hakuna wa kusingiziwa na wamemfanana 90 percent hivyo hana ubavu. Hati za nyumba zote zina majina yetu hivyo akiamua kulikoroga anasepa peke yake.Haya hongera....
Mie nasikiaga tuu yanayojiri huko sitaki hata kujaribu kunusa.
Siyo kweli. Chemistry ikikubali unaenjoy sana ndoa. Jiulize kama una kaka au dada simnagombana kila siku at the end of the day mnakula sahani moja? Kwenye ndoa ndo usiseme mkikwaruzana basi mahaba yakitoka hapo ndo usiseme. Mme wangu siyo chokoraa wale wanakula kila taka taka. Namwamini naye ananiamini na kuniheshimu. Tuna wajukuu sasa. Mimi nimeridhika yeye anaogopa kukimbiwa na watoto akitetereka na mie kumfukuza maana inabidi yeye aachie ngazi. Nyumba tumejenga wote, watoto tumezaa wote wala hakuna wa kusingiziwa na wamemfanana 90 percent hivyo hana ubavu. Hati za nyumba zote zina majina yetu hivyo akiamua kulikoroga anasepa peke yake.
Nimeimba makusudi kwakujua tu lazima Kasie aniote usiku[emoji4][emoji4]Heheheheh nilijisemea tuu kuwa lazima atatokea mtu kuuimba huu wimbo.
Here you are....
My instincts are always right.
Ciao.
Hahahahaaa looh
Wewe huogopiii! !??
Na ni matata kwelii aiseeh hehehehehehe
Haya kama huogopi basi vyema.
Kaza mshipi vizuri usijelegea au dondoka wakati wa hekaheka. .......
Keeeuwiiiii hahahahahaa looh
Wewe hufai hata kidogoo hehehehehehee hutaniwiii
Umeniweza kwelikweli laaah.
Hahahaha kuna watu wakitaniwa huwa wanafanya kwelii yaani wanaichaapa ile kazi kisawa sawa
Kasie matata kawezwa
Aahahahahahahahaaaa sijakubali banaa, Kasie ni mbishi balaa.
Nakufanyia vurugu hadi mshipi udondoke aahahahahahahahaa
Kasie Mavurugu .
Kasie ni mbishi kwa wengine tu,
Mshipi ambao umehimili vurugu za papa baharini basi hata vurugu za kasie matata nchi kavu si chochote
Hahahahaaa yaani ndo unanifanya nizidi kukubishia. .... na nnavopenda ligi sasa. .... aahahahahha
Jiandae kwa sarakasi.
Hahaha mbona sioni ubishi wowote hapo zaidi labda naona umatataa wako
Sarakasi handler
Fundi sarakasi
Mimi ndiyeHahahahaaa looh, hivi wewe ndo Kunta Kinte....!!??
Sio kwa kutokubali huko......
Haya twende pamoja, dance unaliweza lakini? Maana Kasie akianza kulisakata rhumba saa tatu usiku hakai chini wala hapumziki hadi majogoo yaani hadi kunakucha. Hapo ndo atalala mchana kutwa.
Kama ni mazoezi anza marathon mapemaa, ukiweza kimoja non stop from kinondoni morrocco to salender bridge then to sea cliff basi hapo jiaminishe kuwa utadance sambamba na Kasie.
Kazi kwako Kunta.
Style utakayo switch mimi naenda nayo,