Uko wapi mpenzi wangu?

aaahahahhahahahaaa looh, umenipa cheko panaa.

uzuri wake PM zote huwa nzifuta hivo hata sikumbuki labda uangalie kwenye sent aitem zako kama ulishawahi nitumia.

Kasie Matata.
Ila kamwandiko kako kamelalia kushoto sasa sisi mikunyenge hulalia kulia

Inabidi tukuchunguze kwanza tujiridhishe KBS

Ila nikikuta tobo mama inabidi wanisamehe tu maana nazama hapo hapo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila kamwandiko kako kamelalia kushoto sasa sisi mikunyenge hulalia kulia

Inabidi tukuchunguze kwanza tujiridhishe KBS

Ila nikikuta tobo mama inabidi wanisamehe tu maana nazama hapo hapo

Angalia usije ukamaliza thesis halafu majibu bado hujapa.
 
Ila kamwandiko kako kamelalia kushoto sasa sisi mikunyenge hulalia kulia

Inabidi tukuchunguze kwanza tujiridhishe KBS

Ila nikikuta tobo mama inabidi wanisamehe tu maana nazama hapo hapo
Mhu Samariatan mimi nimepoa kwangu na babu wangu sina papara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…