[emoji23][emoji23][emoji23] kasie bana
Ni burudani ya mziki tuu hakuna tafsiri maanishwa hapo.
Shika mushika shika mushika shika mushika shika mushika.....
Dancing the beats...
Hakuna cha mpenzi, hofu ya muda tu.........
Nakuhitajiii popote wee ulipoo. ...
Mimi bado nakupenda.
Kwa karibu miezi 4 nimekuwa natingwa sana na majukumu hivo hata mahabat wangu na pishana nae kama askari kanzu.
Sasa ule msimu wetu wa likizo umekaribia, ndo naandaa mazingira ya vacation hivooo.
Jukumu langu kubwa la mahesabu ya kufunga mwaka nshayamaliza hivo hapa ni mahaba kwa kwenda mbele....
Nikishaanza kumuimbia hivi anarojeeekaaa basi mie aaaghh popote pale nitakapo kupatembelea tunaenda.
Kasie Mahaba Matata.
Unamwimbia wimbo wa dume , kwani we ni kidume usihatarishe maisha mama ukatupa shida kwenye mbongo zetu
Hivi kasie ni shooogaaa?
How old are you? Married or single?Sophist...
Shika mushika, shika mushika shika mushika...
Yeeiiyoooo....
Atukutukumaamaa tukutukumaaa, seeluumbaa..
Hivi sikuwahi kuja pm kweliNdio mie ni mwanaume bahati mbaya, tena ni shogaa....
Wale wanaume woootee mliokuwa mnani PM mkijua Kasie ni mwanamke basi kuanzia leo mjue kuwa Kasie ni mwanaume. Polenii.
Naendelea kuimba na kucheza.....
shika mushika, shika mushika.... shika mushika.....
twende mbele mbele sendemaa, rudi nyuma sendeemaa...
Kushoto kulia sendemaa... sendemaa... sendemaaa...
Chaaachuuuuu heheheheeiiiyaaa.
Kooolooombaaah..
Kasie Matata.
Ngoja na mimi nisubiri jibu Mama yangu.How old are you? Married or single?
Hivi sikuwahi kuja pm kweli
Nimepata maruweruwe
Kwa ujumbe wako
Imebidi niiangalie mboloooi Mara mbili mbili