Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,846
- 3,044
Huyo dogo Last seen yake humu ni 6th September, 2025, siku ambayo TCRA walifungia JF. Uwezekano mkubwa dogo ChoiceVariable amekosa maujanja ya vpn.Uko wapi choice variable?
I do not engage in activist agenda and petty issuesNdugu yangu Venus Star sema lolote hapa
I do not engage in activist agenda and petty issues
Swala linalohusisha nchi kiuchumi na kisiasa sio petty issue
Pia raraa reree nae kapotea!Kuna huyu wa kuitwa MIN me sijui yu wapi?
hawa wana wa kugawa likes sijui kimewakuta nn?Pia raraa reree nae kapotea!
Ni kweli amepigwa risasi, au ndo stori tu ya kufurahisha JF?Jamaa namfahamu, siku ya 29 October kabla ya maandamano jamaa alijihimu asubuhi na mapema kwenda kupiga kura.. Baada ya kupiga kura akapitia kijiweni maeneo ya Kabwe kijiwe cha draft, sasa yuko pale na watu kadhaa wanabishana mambo ya Ccm... Baada ya dakika kadhaa maandamano yakaanza na risasi kurindima....
Jamaa akaanza kukimbia ili aende akapande hiace ili aende zake nyumbani maeneo ya Iyunga, baadae Magali yote yakawa yamepigwa block road hakuna kupita... Jamaa kuona hali ni mbaya akaenda kujificha kwenye mtaro, kumbe wajomba wamemwona hawakujua kama ni Ccm mwenzao. Wakaenda pale mtaroni wakamchapa risasi za matak.or na nyingi zilimpata kwenye pumb.ur ghafa aka REST.
Limwili lake hata halieleweki liko wapi. Hata likipatika halina umuhimu wowote ni useless tu.
Kunogesha kijiwe tu mkuu... ni ubunifu tu wa kisanaaNi kweli amepigwa risasi, au ndo stori tu ya kufurahisha JF?
Sawa nimekuelewa 😅👍Kunogesha kijiwe tu mkuu... ni ubunifu tu wa kisanaa
Choice Variable mpaka sasa anashangaa kumbe CCM ndo makatili kiasi hicho wa kuchinja raia kama kukuNajua kwa sasa, tutakuwa pamoja na kusema kauli yetu pendwa ,haki ni tunu ya amani.
Choice variable ni muungwana sana, lakini alikunywa kipindi cha nyuma mvinyo wa udhalimu, sasa amepata uponywaji wa nafsi na mwili kwa ujumla,sio kama roboti matope Tlaahtlaah.
Lakini tuje na kauli moja kwa dunia nzima
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.