Uko wap we msichana mbona sikupati

ngulangwa

Member
Joined
Sep 18, 2012
Messages
18
Points
45

ngulangwa

Member
Joined Sep 18, 2012
18 45
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo:

1. awe muislam
2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani.
3. Mwenye degree elimu kuanzia form six au diploma
4. Mwenye kujiheshimu na aliyetulia

kuhusu mimi:
1. Niko Dar hivo ajue ndipo maskani
2.mimi mrefu mwembamba maji ya kunde.
3. aliyetayari anitext 0682008819
 

Forum statistics

Threads 1,390,150
Members 528,096
Posts 34,044,022
Top