Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,820 Reaction score 55,612 Mar 4, 2013 #41 Wako wapi nizamie?
B bandubandu Senior Member Joined Dec 19, 2010 Posts 102 Reaction score 28 Mar 4, 2013 #42 saudari said: View attachment 85433 Jitihada zako ndizo zitakufanya ushibe. Click to expand... Kaka nadhani hapa we have to apply ile kanuni ambayo bila shaka utakuwa umeisahau kwamba speed yako ndio itakayokuokoa.
saudari said: View attachment 85433 Jitihada zako ndizo zitakufanya ushibe. Click to expand... Kaka nadhani hapa we have to apply ile kanuni ambayo bila shaka utakuwa umeisahau kwamba speed yako ndio itakayokuokoa.
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,387 Reaction score 10,965 Mar 4, 2013 #43 kiwatengu said: aisee!! Watu 7 msosi wenyewe kiduchu kweli...style wanayotumia watu8. Click to expand... Unasema watu saba kwa kuhesabu mikono?!? Wengine hapo mastraika wa ukweli, kama Cristiano; kushoto na kulia vyote vinatumika kupiga gozi na goli! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kiwatengu said: aisee!! Watu 7 msosi wenyewe kiduchu kweli...style wanayotumia watu8. Click to expand... Unasema watu saba kwa kuhesabu mikono?!? Wengine hapo mastraika wa ukweli, kama Cristiano; kushoto na kulia vyote vinatumika kupiga gozi na goli!
dada white JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,228 Reaction score 515 Mar 4, 2013 #44 ki ukweli hii kitu siwezagi hii beto.
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Mar 4, 2013 #45 saudari said: View attachment 85433 Jitihada zako ndizo zitakufanya ushibe. Click to expand... "Mikono mingi harabu ya kula"
saudari said: View attachment 85433 Jitihada zako ndizo zitakufanya ushibe. Click to expand... "Mikono mingi harabu ya kula"