Mtu hukumbukwa kwa yale aliyoyafanya akiwa duniani. Ni vema sisi tulio hai tukayatengeneza maisha yetu kabla siku yenyewe haijafika, sala na maombi havitasaidia kutuweka pazuri kama maisha yetu hayakumcha Mungu wakati wa uhai wetu.hnimeipokea habari kwa huzuni kubwa kama mtanzania ambae daima mioyo yetu hutakiwa kuweka mbele ubunaadamu kabla ya mengine
nnamuomba mola aipokee roho ya marehemu nakuiweka pahala pema peponi
na wafiwa mola wape moyo wa subira na kuwafariji
hatuitendei vyema familia ya marehemu dito na yeye mwenyewe kwa kumsubukua.
ss waislam kuna maandiko yanasema
" yakumbukeni mazuri ya maiti zenu na msiyataje mabaya yake"
tukiamini kila binaadamu ana mapungufu yake lkn wakati wa msiba si vyema kuanza kusobokoana
Tuwape pole wafiwa, lakini tusimfanyie Mungu maamuzi. Mtu anapokufa na kitabu chake kinafungwa. Mungu ndo anajua atamfanya nini marehemu na sio sisi kumwambia Mungu amfanye nini!!Mungu alilaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen. Poleni sana wafiwa.
Ni kweli huyu ndugu kwa sasa ni marehemu, ila kafia hotelini na si hospitali kama mtoa mada alivyosema. Mwili wa marehemu uko hospitali ya mkoa wa Morogoro.
Sijui kimemuua nini?
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana libarikiwe! Amen!
Tunaomba mwenye CV yake atuwekee hapa..
Ya Dito inasikitisha sana. Amefariki kwa shinikizo la damu leo saa mbili asubuhi akiwa hotelini, Morogoro, tena akiwa anaangalia TV.... mwili wake unasafirishwa leo mchana huu kuelekea Dar es Salaam ambako utapitishiwa hospitali ya jeshi ya Lugalo, kabla ya shughuli ya mazishi kuendelea nyumbani kwake Upanga, Dar es Salaam. Ina Lilalh Waina Ilaihu Rajiun
Tunaomba mwenye CV yake atuwekee hapa..
AMEFIA CHUMBANI ALIKOKUWA AMEPANGA KATIKA HOTELI YA HILUX. KILICHOMUUA HADI SASA HAKIJAJULIKANA LAKINI TUKUMBUKE ALIPOKUWA RUMANDE VIP SECTION YA PALE KEKO ALIKUWA ANADAIWA KUWA NA KISUKARI NA SHINIKIZO, YAWEZA KUWA MAGONJWA HAYO AU KINGINE. NA MENGINE ZAIDI NITAWAPATIA NIKIPATA ANY BREAKING NEWS KUHUSU KIFO CHA HUYU MUHESHIMIWA. TAARIFA ZINGINE ZA KARIBUNI ZASEMA JANA ALIONEKANA AKIRANDA RANDA MJINI MOROGORO NA GARI LAKE AKIONEKANA KUWA NA AFYA NJEMA HUKU GARI LIKIENDESHWA NA MDOGO WAKE MAREHEMU.