zwangandaba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 750
- 1,427
Mzee baba tupe njia za kuzitafuta pesa,huu msemo wa tafuta pesa unasemwa kila namna lakini najiuliza kwanini wengi wetu hatuna pesa?Tutafute pesa wakuu
PIga kaziMzee baba tupe njia za kuzitafuta pesa,huu msemo wa tafuta pesa unasemwa kila namna lakini najiuliza kwanini wengi wetu hatuna pesa?
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
tukatae papuchi halafu unataka tukambeto wapi sasa...?Achraf Hakimi amesha tusanua..
Demu haongwi,Demu hapewi pesa.
KATAA MADEMU
KATAA PAPUCHI
MADEMU NI WANYONYAJI
MADEMU NI HASARA.
TUNZA KIBUNDA CHAKO.
Yani mtu wa kila muda kunitumia ujumbe kila siku kunipgia aiseh hilo siwez kulibeba.Kuna hii tabia ya wadada mkishazoeana mambo yanakuwa freshi mnasalimiana vizuri tu na hata sms za kusalimiana na kutakiana kheri ni kawaida.
Tatizo linakuja pale mkishakuwa na mazoea hayo kifuatacho ni kukuomba pesa.
Sasa ukiombwa pesa na usimpe hawa watu balaa linanza kwani wanaanza kukuwekea vinyongo, salamu zinakata, mkikutana hakuchangamkii tena na mambo kama hayo.
Nimepata uzoefu kwa wada kadhaa, karibu wote mwisho wao ni kukuomba pesa, usipompatia urafiki unakufa kifo cha ghafla.
Nasema uongo ndugu zangu?
Wengine utaona vijembe mara wifi kapanda mara kashuka. Utadhani uliwatambukisha kumbe wanahisi tuu kuna anaekula hizo pesa. Hawana wazo kwamba kuna maendeleo. Hilo no.Kuna hii tabia ya wadada mkishazoeana mambo yanakuwa freshi mnasalimiana vizuri tu na hata sms za kusalimiana na kutakiana kheri ni kawaida.
Tatizo linakuja pale mkishakuwa na mazoea hayo kifuatacho ni kukuomba pesa.
Sasa ukiombwa pesa na usimpe hawa watu balaa linanza kwani wanaanza kukuwekea vinyongo, salamu zinakata, mkikutana hakuchangamkii tena na mambo kama hayo.
Nimepata uzoefu kwa wada kadhaa, karibu wote mwisho wao ni kukuomba pesa, usipompatia urafiki unakufa kifo cha ghafla.
Nasema uongo ndugu zangu?
Maana tukiamka kila siku alfajiri tunaenda tafuta umaarufu. Ok nimeelewa. [emoji57]Tutafute pesa wakuu
Hmm.. Kasheshe. Kusudi la hazo parts sio kutumikishana wala kublack mail wengine. Jitambueni. Mmefungiwa kwenye kwapa??????????????? [emoji22][emoji37]tukatae papuchi halafu unataka tukambeto wapi sasa...?
Tunazitafutia wapi?Tutafute pesa wakuu
Zinapopatikana kwanini wao na sio sisi?Tunazitafutia wapi?
Neno langu sio sheria huo msunyo uwe nawe pia. Sikupaswa kuchangia mawazo yangu?Maana tukiamka kila siku alfajiri tunaenda tafuta umaarufu. Ok nimeelewa. [emoji57]