Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,289
- 2,608
Udukuzi unahitaji brains , Hamna wadukuzi Bongo hapaWazee wa tunaFRASH SIMU ZA AINA ZOTE pitieni hapa
Acha dharau, au nikudukue??Udukuzi unahitaji brains , Hamna wadukuzi Bongo hapa
Muda,hiyo uliyoandia inasomeka kama em' d' eiwajipe mda watu watapambana na kufanikiwa
Wazee wa coding tukutane fursa hioView attachment 3137114
Kampuni ya apple imesema itatoa Zawadi ya dola milioni moja kwa yeyote atakayeweza kudukua mfumo wao mpya wa seva za akili bandia (AI) kwenye apple intelligence.
Kampuni hiyo iliweza kutangaza hiyo taarifa siku ya Alhamisi kwa kusema kwamba "inawaalika wadau au wataalamu mbalimbali wenye Uwezo wa kudukua taarifa kuweza kudukua seva Yao kwa kufanya majaribio kujua udhaifu wa mfumo wao huko wapi".
Kwani kampuni hiyo imetangaza kuachia apple intelligence wiki ijayo wakati iOS yao ya 18 itazinduliwa jumatatu ya tarehe 28.
View attachment 3137115
Apple intelligence itaweza kupatikana kwa watumiaji wa iphone , ipad, macs ndani yake kutakua na tools mbalimbali zitakazo kusaidia kwenye kuandika, clean up, notification , Siri nk.
Ulipwaju unaweza kuwa mkubwa kwa mtu ambaye atakayeweza kuingia kwenye mfumo na kuweza kuhalibu mifumo mbalimbali na kutotambulika.
#bongotech255 #Apple #applehack #Udukuzi #Fahamu #AppleTanzania
Kwa IT na computer sayansi huwezi kuduka ata SACCOS NA VICOBAUdukuzi unahitaji brains , Hamna wadukuzi Bongo hapa
Kudukua n kosa la kisheria,kwahiyo unataka mtu adukuwe halafu ajitambulishe ili akamatwe...View attachment 3137114
Kampuni ya apple imesema itatoa Zawadi ya dola milioni moja kwa yeyote atakayeweza kudukua mfumo wao mpya wa seva za akili bandia (AI) kwenye apple intelligence.
Kampuni hiyo iliweza kutangaza hiyo taarifa siku ya Alhamisi kwa kusema kwamba "inawaalika wadau au wataalamu mbalimbali wenye Uwezo wa kudukua taarifa kuweza kudukua seva Yao kwa kufanya majaribio kujua udhaifu wa mfumo wao huko wapi".
Kwani kampuni hiyo imetangaza kuachia apple intelligence wiki ijayo wakati iOS yao ya 18 itazinduliwa jumatatu ya tarehe 28.
View attachment 3137115
Apple intelligence itaweza kupatikana kwa watumiaji wa iphone , ipad, macs ndani yake kutakua na tools mbalimbali zitakazo kusaidia kwenye kuandika, clean up, notification , Siri nk.
Ulipwaju unaweza kuwa mkubwa kwa mtu ambaye atakayeweza kuingia kwenye mfumo na kuweza kuhalibu mifumo mbalimbali na kutotambulika.
#bongotech255 #Apple #applehack #Udukuzi #Fahamu #AppleTanzania
Kudukua n kosa la kisheria,kwahiyo unataka mtu adukuwe halafu ajitambulishe ili akamatwe...

Wazungu ukifanikiwa unaajiliwa na kulipwa hiyo bonas akuna shida hapo wanataka kupima mfumo wao huoKudukua n kosa la kisheria,kwahiyo unataka mtu adukuwe halafu ajitambulishe ili akamatwe...
na hawajasema wabongo wadukue, wanajuaUdukuzi unahitaji brains , Hamna wadukuzi Bongo hapa