Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu sikia hii

Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu sikia hii

buzbud

Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
40
Reaction score
17
Mwongo alikuwa anawahadithia watu jinsi alivyokuwa anamkimbiza swala porini ,akaishia amemkamata swala amemlaza chini. Mara cm ikaita, kumaliza kuongea akauliza niliishia wap kuhadithia? Wakajibu umemlaza chini...ahhh bas nikaanza kumto***. Wakamuuliza si swala...ahhh bas nikaanza kumchuna ngozi...watu ahaaaaa fiksi hizo kum*******ko hata bila kumchinja....
 
Hahaahahahahaaaaaa
 
Mitoto isipopenda shule bana...! Mwizi aliingia ndan akaiba, wakati anaondoka dogo akamkamata mguu akamwambia usipochukua na begi langu la madaftari napiga kelele
 
JERO; Ulikuwa wap ndugu yangu,mbona huonekani...? ELFU KUMI; Daaah ndugu yangu mwenzio nazunguka tu kwa kutumia wallet na atm...mara nimeingia bar mara cassino,juzi nilikuwa uwanja wa ndege nikakaa sanA pale kisha nikaenda mlimani city nikatoka nikaenda holiday inn kisha nikachukuliwa nikapelekwa masaki, Vp wewe pande zip...JERO; looh mwenzio kila siku kwa mama ntilie, nikibadili kiwanja labda utanikuta kilabuni au stoo ya mkaa ,mwenzio sina usafiri "wallet" huku ni mafundo ya kanga na vibubu tú si unaona nilivyozeeka yan utadhani mi ndo mkubwa wakati mkubwa wewe...
 
mmmmmh dogo n mjanja kweli mana jaona shule michosho sana
 
Mitoto isipopenda shule bana...! Mwizi aliingia ndan akaiba, wakati anaondoka dogo akamkamata mguu akamwambia usipochukua na begi langu la madaftari napiga kelele

Hahahahaaa
 
JERO; Ulikuwa wap ndugu yangu,mbona huonekani...? ELFU KUMI; Daaah ndugu yangu mwenzio nazunguka tu kwa kutumia wallet na atm...mara nimeingia bar mara cassino,juzi nilikuwa uwanja wa ndege nikakaa sanA pale kisha nikaenda mlimani city nikatoka nikaenda holiday inn kisha nikachukuliwa nikapelekwa masaki, Vp wewe pande zip...JERO; looh mwenzio kila siku kwa mama ntilie, nikibadili kiwanja labda utanikuta kilabuni au stoo ya mkaa ,mwenzio sina usafiri "wallet" huku ni mafundo ya kanga na vibubu tú si unaona nilivyozeeka yan utadhani mi ndo mkubwa wakati mkubwa wewe...

Jero kajisahau kama na maskani yake kuu kwenye daladala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom