Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,436
- 50,163
Mkuu ni raisi sana kuiongoza tanzania
Kwani watz wengi wanaburuzika
Kuna mtu alisema Nyerere anaongoza wafu sikumbuki alikuwa nani!
Mkuu ni raisi sana kuiongoza tanzania
Kwani watz wengi wanaburuzika
Kuna mtu alisema Nyerere anaongoza wafu sikumbuki alikuwa nani!
Amani iwe nanyi, Serikali hii ilituaminisha watanzania kuwa imekamata vichwa vya treni bandarini ambavyo havina mwenyewe. Juzi waziri wa uchukuzi mh mbarawa akasema Serikali imenunua vichwa hivyo kwa bei nafuu.
Swali langu ni kwamba unawezeje kununua kitu hakina mmiliki? Pesa unamlipa nani? Au Serikali ilikua inatafuta sifa kiki kwa watanzania? Najiuliza ni mangapi tunaongopewa huku tukipiga makofi?
Mwisho ni vema unapokuwa mwongo sana basi usiwe msahaulifu mpaka ukasahau Jana uliongopa nini. Asubuhi njema.