Ukiwa muongo usiwe msahaulifu

Ukiwa muongo usiwe msahaulifu

Kanguyeyejr

Senior Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
105
Reaction score
91
Amani iwe nanyi, Serikali hii ilituaminisha watanzania kuwa imekamata vichwa vya treni bandarini ambavyo havina mwenyewe. Juzi waziri wa uchukuzi mh mbarawa akasema Serikali imenunua vichwa hivyo kwa bei nafuu.

Swali langu ni kwamba unawezeje kununua kitu hakina mmiliki? Pesa unamlipa nani? Au Serikali ilikua inatafuta sifa kiki kwa watanzania? Najiuliza ni mangapi tunaongopewa huku tukipiga makofi?

Mwisho ni vema unapokuwa mwongo sana basi usiwe msahaulifu mpaka ukasahau Jana uliongopa nini. Asubuhi njema.
 
Sina utaalamu na mambo ya bandari lakini navohisi ni kuwa mzigo unapotelekezwa bandarini TRA wanakuwa na mamlaka nao ikiwemo kuuza.....
Kwahiyo TRA waliviuza kwa serikali? Hii hainiingii akilini.
 
Amani iwe nanyi, serikali hii ilituaminisha watanzania kuwa imekamata vichwa vya treni bandarini ambavyo havina mwenyewe. Juzi waziri wa uchukukuzi mh mbarawa akasema serikali imenunua vichwa hivyo kwa bei nafuu.

Swali langu ni kwamba unawezeje kununua kitu hakina mmiliki? Pesa unamlipa nani? Au serikali ilikua inatafuta sifa kiki kwa watanzania? Najiuliza ni mangapi tunaongopewa huku tukipiga makofi?

Mwisho ni vema unapokuwa mwongo sana basi usiwe msahaulifu mpaka ukasahau Jana uliongopa nini. Asubuhi njema

Sasa wewe tatizo lako ni kukosoa au. Kila kitu wakuambie we huendagi chooni kunya.
 
Amani iwe nanyi, Serikali hii ilituaminisha watanzania kuwa imekamata vichwa vya treni bandarini ambavyo havina mwenyewe. Juzi waziri wa uchukuzi mh mbarawa akasema Serikali imenunua vichwa hivyo kwa bei nafuu.

Swali langu ni kwamba unawezeje kununua kitu hakina mmiliki? Pesa unamlipa nani? Au Serikali ilikua inatafuta sifa kiki kwa watanzania? Najiuliza ni mangapi tunaongopewa huku tukipiga makofi?

Mwisho ni vema unapokuwa mwongo sana basi usiwe msahaulifu mpaka ukasahau Jana uliongopa nini. Asubuhi njema.

Baadae alitoa kauli kuwa vililetwa lakini kulikuwa na mvutano kwenye bei ndiyo maana vilibaki pale, na wakafanya majadiliano ambapo wakapata punguzo kubwa,na waziri akasema atawakilisha serekalini ili waone kama vitanunuliwa.....

Nadhani sasa vimenunuliwa..........
 
Sasa kama unamjua mletaji au mmiliki unawezaje kusema umeokota?
mkuu, haya mavitu yanaonekana yalitelekezwa kwa muda na hao waletaji, kingine ni kuwa mi sijawahi kuwaamini serikali kwa kauli zao toka haya madude yaokotwe bandarini! kwa hio hilo swali mi mwenyew huwa najiuliza!
 
Dereva wa lori ambaye role model wake ni dereva wa bajaji
 
Kingine tuliambiwa mavichwa mabovu leo tunanunua mavichwa mabovu
 
1.Rais ni mwongo maana aliongea tarehe 14/10/2017 kuwa kuna Watumishi wa Umma 59,000+ watapandishwa madaraja mwezi Novemba lakini hadi sasa hajapanda hata mmoja.

2.Rais alisema baada ya uhakiki kumalizika kutakuwa na maslahi bora kwa Watumishi wa Umma lakini hadi sasa wamepewa za uso.

Waandishi wa habari hizi hazifai kupamba kwenye front page maana sijawahi kuziona.

Kutoka hifadhi ya misitu ya Madihani
Mwanachama wa CCM.
 
Kama sikosei walikuja kutangaza mmiliki wa vile vichwa baadae...
 
kipara anaposema aombewe humaanisha msiyoyadhania..
kipara the joka
kkkk !
 
Back
Top Bottom