PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
Jana kwenye mkutano wa CHADEMA hapa mkoani Iringa, Mchungaji Peter Msigwa alisema ili uwe mwana CCM lazima uwe na sifa zifuatazo:-
1. Uwe mnafiki
2. Uwe fisadi
3. Uwe mwongo
4. Uwe unaweza kujipendekeza
5. Uwe huna aibu
Yeye alizisema 5 nyingine waliziongezea wananchi kama, ushirikina, umalaya na wizi, walizitaja kwa sauti....
kama wachungaji ni wahuni kwanini kila siku haishi kujipendekeza makanisaniule usemi wa samwali sitta kuwa msigwa ni mhuni wa kawaida tu na wala siyo mchungaji sasa nauamini kwa asilimia zote kweli hana sifa za kuwa mchungaji.
Msigwa tangu atoe ile hotuba yake ya UDAKU jamii inamuona kama mwehu tu...
Msigwa tangu atoe ile hotuba yake ya UDAKU jamii inamuona kama mwehu tu...
Jana kwenye mkutano wa CHADEMA hapa mkoani Iringa, Mchungaji Peter Msigwa alisema ili uwe mwana CCM lazima uwe na sifa zifuatazo:-
1. Uwe mnafiki
2. Uwe fisadi
3. Uwe mwongo
4. Uwe unaweza kujipendekeza
5. Uwe huna aibu
Yeye alizisema 5 nyingine waliziongezea wananchi kama, ushirikina, umalaya na wizi, walizitaja kwa sauti....
Uwe mpakaziaji kama Mwigulu, mtukanaji kama Lusinde na Nkamia, usione fedha ya wananchi ni kitu cha thamani kama Chenge na Malima
Msigwa tangu atoe ile hotuba yake ya UDAKU jamii inamuona kama mwehu tu...
Jana kwenye mkutano wa CHADEMA hapa mkoani Iringa, Mchungaji Peter Msigwa alisema ili uwe mwana CCM lazima uwe na sifa zifuatazo:- 1. Uwe mnafiki 2. Uwe fisadi 3. Uwe mwongo 4. Uwe unaweza kujipendekeza 5. Uwe huna aibu Yeye alizisema 5 nyingine waliziongezea wananchi kama, ushirikina, umalaya na wizi, walizitaja kwa sauti....
......Kwa mawazo yangu....... ninamuheshimu sana mh Msigwa........Kama ni kweli........nadhani amekosea........tunategemea mambo ya maana zaidi kutoka kwake....kama mbunge.........ya aina hii awaachie wengine......tufike mahali tuachane na siasa za aina hii zisizo na kichwa wala miguu hasa kwa waheshimiwa.......Jana kwenye mkutano wa CHADEMA hapa mkoani Iringa, Mchungaji Peter Msigwa alisema ili uwe mwana CCM lazima uwe na sifa zifuatazo:-
1. Uwe mnafiki
2. Uwe fisadi
3. Uwe mwongo
4. Uwe unaweza kujipendekeza
5. Uwe huna aibu
Yeye alizisema 5 nyingine waliziongezea wananchi kama, ushirikina, umalaya na wizi, walizitaja kwa sauti....
kama wachungaji ni wahuni kwanini kila siku haishi kujipendekeza makanisani
Msigwa tangu atoe ile hotuba yake ya UDAKU jamii inamuona kama mwehu tu...