Lugano Edom
Senior Member
- Dec 2, 2021
- 161
- 298
WpapiSorry sijakuelewa, unaweza kuongeza sauti?
What is your msg, ni msg gani unaituma kwa jamiiWpapi
Mkuu,uandishi wako umetawaliwa na usingizi,Ni vyema ukiwa kiongozi uache kufanya mambo kwa kurupuka maana madhara ya kufanya jambo fulani bila kupima madhara yake mwishowe kiongozi utaonekana hujui kuongoza au waweza gawa gawa gawa uwaongozao.
#naonavyemavibes #NaonavyemaStyle #LuganoEdom #asiyebadilika #hakunahasara
Viongozi wa kitaifa inatakiwa wachunge ama kutunza kauli zaoNi vyema ukiwa kiongozi uache kufanya mambo kwa kurupuka maana madhara ya kufanya jambo fulani bila kupima madhara yake mwishowe kiongozi utaonekana hujui kuongoza au waweza gawa gawa gawa uwaongozao.
#naonavyemavibes #NaonavyemaStyle #LuganoEdom #asiyebadilika #hakunahasara
Nani kakuambia mie na hadija kopa tunaendana mie natako yeye hana umeelewa kazi kushadadia wachumba za wenzako nani kakuambia sina mAcho ya kurembuaHalafu ukiwa Kiongozi lazima uwe na kifua kipana kama Bi Hadija Kopa, au Babe wangu SweetyCandy!! Uongozi hautaki watu laini laini na wenye macho ya kurembua π kama akina cocastic! Watu wanaojua kuchamba tu.
Cha ajabu sasa, level zote za Elimu nilizopita nilikua kiongozi. Isipokua Chuo tyuuh.Halafu ukiwa Kiongozi lazima uwe na kifua kipana kama Bi Hadija Kopa, au Babe wangu SweetyCandy!! Uongozi hautaki watu laini laini na wenye macho ya kurembua π kama akina cocastic! Watu wanaojua kuchamba tu.
Itakuwa anakunywa Konyagi kama mimi sasa hivi, lakini yeye zimemzidi! Ahahahahaha!!Sorry sijakuelewa, unaweza kuongeza sauti?