Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,251
- 2,131
Habari zenyu...
Kwanza niwe mkweli kabla niliamini shemeji yeni ndo msichana mrembo kuliko wote duniani.Kumbe nilikuwa naidanganya nafsi.
Leo jioni natoka kwenye mihangaiko nikafika stand kupanda gari kurudi home. Siti ya karibu yangu akaja msichana mzuri sana(she is very beautiful kama Cleopatra) akaa jirani.
Kama kawaida yangu sikumjali richa ya uzuri wake.Nikazama kwenye begi langu nikachukuwa kitabu kilichoandikwa na Author John Maxwell (How successful people think) nikaanza kusoma.
Yule mrembo hakusalimia nikasema poa.Wakware waliokuwepo kwenye macho yote kwangu walizani namwaga sumu,kumbe kauzu nimechuna tu.
Tunaliza vituo tu hakuna aliyesema chochote kati yetu ghafla yule Cleopatra(nimempa jina hili) akakata ukimya.
"Niazime hicho kitabu nimekipenda"nikampa,nikazama tena kwenye begi nikavuta kingine cha Benjamin Bergum-The intelligent investors nikaanza kusoma.Hatukufika mbali yule mrembo akaniambia mi nakaribia kushuka.
Nikamwambia powa,nipe kitabu changu akadai amekipenda anakiomba akakisome alafu atanirudishia.Nikamkubalia lakini kwa masharti kadhaa.
Kabla ya kushuku yule mrembo akazama kwenye kibegi chake akatowa business card akanipa na amenialika this weekend nienda kwake.She is single.Teh teh the
NOTE.Hii picha haihusiani na huo mkasa.