Tibaijuka nashindwa kukuelewa,mimi nimeuliza kuwa je mtu unapotolewa prostate unaweza tena kuzaa?Nimeuliza hivyo kwakuwa nina mpenzi ambae anadai kuwa nimezaa nae watoto.Dada huyo ni mpenzi wangu wa muda mrefu sio mke wangu na wala hahitaji kunidanganya kwani tunasaidiana sana na kuelewana sana tu,sasa unaponiuliza kama nimetoa prostate umri umeenda sana,kwamba nataka kuzaa wajukuu,huo sio msaada bali kejeli,na kama kweli wewe ni daktari basi wagonjwa wako wana kazi.Hatahivyo mimi ni mstaarabu nakusamehe