bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 773
- 1,087
Nauliza kupata uzoefu kwenye mechi za kimataifa za kirafiki mkuu!umemwaga ndani ?
Ahsante mkuu!Nadnan majibu yapo kwe aliyekuwekea na aliyetoa anawez kujua vizuri.
Ila moja ya shida ya kijiti ki kuvhelewa kupata ujauzito kwa wakati...yaan baada ya kutoa unaweza kutafuta mimba na usipate kwa wakati flan
Kweli kabisa, au wengine kupata matatizo ya hedhi, pole wakina mama, yahitaji subira, msosi wa kutengeneza ASKARI, mazoezi, kuacha mapombe na masigara, na mwisho kusimamia vidole kabisa.Nadnan majibu yapo kwe aliyekuwekea na aliyetoa anawez kujua vizuri.
Ila moja ya shida ya kijiti ki kuvhelewa kupata ujauzito kwa wakati...yaan baada ya kutoa unaweza kutafuta mimba na usipate kwa wakati flan
Hapohapo itaingia no time to wasteHabari wakuu!
Naomba kueleweshwa, ikiwa mwanamke anayetumia kijiti Kama njia ya uzazi wa mpango atatoa kijiti kabla ya muda wake wa matumizi kufika, mfano kijiti Ni Cha miaka mitatu yet akatoa baada ya mwaka mmoja, Je itachukua muda gani kwa yeye kupata mimba?
Umesema kweli kabisa.Nadnani majibu yapo kwa aliyekuwekea na aliyetoa anaweza kujua vizuri.
Ila moja ya shida ya kijiti ki kuchelewa kupata ujauzito kwa wakati...
Yaani baada ya kutoa unaweza kutafuta mimba na usipate kwa wakati fulani.
Kijiti gani tena jamani?Habari wakuu!
Naomba kueleweshwa, ikiwa mwanamke anayetumia kijiti Kama njia ya uzazi wa mpango atatoa kijiti kabla ya muda wake wa matumizi kufika, mfano kijiti Ni Cha miaka mitatu yet akatoa baada ya mwaka mmoja,
Je, itachukua muda gani kwa yeye kupata mimba?
Swali gani tena jamanKijiti gani tena jamani?